Kwahiyo ccm wanafunga urafiki mpya na marehemu?Hakuna uadui wa kudumu au urafiki wa kudumu kwenye siasa. Kufikiri otherwise ni kuwa naive.
Unafiki huo huo unaupima vipi kwa Edward Lowassa?Alipokuwa CCM ilidaiwa na Chadema kwamba ni fisadi.Alipoingia Chadema akapewa fursa ya kugombea urais.Fisadi akabadilika kuwa mgombea urais na akasifiwa.
Kabla ya kudai moral authority ya kuita watu wanafiki toa boriti kwenye jicho lako kabla hujaona ubanzi kwenye jicho la mwenzako.
Kwa kumalizia ni utamaduni wetu kutosema ubaya wa marehemu kama anao huo ubaya.
Kama watu wanafuata utamaduni huo au hapana is another case for another day.
Uwezo wako wa kuelewa umefikia hapo???Soma uelewe.Kwahiyo ccm wanafunga urafiki mpya na marehemu?
Nimeelewa ndiyo maana nimekuuliza ccm kwa sasa wanatengeneza urafiki na marehemu aliyekuwa uadui wao wa kisiasa wakati wa uhai wake ???Uwezo wako wa kuelewa umefikia hapo???Soma uelewe.
jidanganye nimie nikikuuliza kipindi hiko mlikuwa pamoja mkijiita ukawa je mlisaidiaje baada ya kuona amedhurumiwa haki yake ? Siasa za majungu✖️, siasa za chuki✖️, siasa za ukabila✖️ , siasa za ubabe ✖️,kwa tanzania 🇹🇿 ya sasa hazina nafasi tena chini ya mama yetu kipenzi .muhasisi wa siasa hizo unazotaka ameshaenda zake na kama bado wapo inshaa,allah m/mungu atawashughurikia tuWakati Maalim Seif anaporwa ushindi 2015 Rais alikuwa Mwendazake ? kuitenga ccm na unafiki ni ngumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindao
Hakuna uadui wa kudumu au urafiki wa kudumu kwenye siasa. Kufikiri otherwise ni kuwa naive.
Unafiki huo huo unaupima vipi kwa Edward Lowassa?Alipokuwa CCM ilidaiwa na Chadema kwamba ni fisadi.Alipoingia Chadema akapewa fursa ya kugombea urais.Fisadi akabadilika kuwa mgombea urais na akasifiwa.
Kabla ya kudai moral authority ya kuita watu wanafiki toa boriti kwenye jicho lako kabla hujaona ubanzi kwenye jicho la mwenzako.
Kwa kumalizia ni utamaduni wetu kutosema ubaya wa marehemu kama anao huo ubaya.
Kama watu wanafuata utamaduni huo au hapana is another case for another day.
Huna uwezo wa uchambuzi kabisa , mada ni Maalim Seif , Wafuasi wake kwa mamia wameuawa na ushahidi upo , leo waliosababisha mauaji ya watu wake wanamsifia , Je kuna mfuasi yeyote wa Lowassa aliuawa na CHADEMA ?Just curious Dk Slaa aliwahi kumfananisha na choo kuhamishiwa sebuleni akiwa chama kipi?Ni nani hao waliokihamishia choo sebuleni?
Chadema ni uzao wa shetaniCCM NI MASHETANI
Pambana na mwenyekiti wako atoke jela ishu ya maalim seif waachie act na CCM wanaounda serikali ya umoja na ndio maana wakashirikiana kwenye hilo tukio/uzinduzi nyie CDM mnakereka nini kama sio wivu wa kike tuHuna uwezo wa uchambuzi kabisa , mada ni Maalim Seif , Wafuasi wake kwa mamia wameuawa na ushahidi upo , leo waliosababisha mauaji ya watu wake wanamsifia , Je kuna mfuasi yeyote wa Lowassa aliuawa na CHADEMA ?
Kumbukumbu ya Maalim Seif Foundation haijaandaliwa na CCM.Mama Samia kaitwa afungue uanzishaji wa foundation hiyo.Tena cha kushangaza kumbukumbu imeandaliwa na ccm kaalikwa na mke wa maalim
Aiseee !!Tena cha kushangaza kumbukumbu imeandaliwa na ccm kaalikwa na mke wa maalim
Ni kweli kabisa, ila kumbuka huo "ukweli" unatakiwa uwe na nguvu na pasiwepo na hoja za kuukosoa. Vinginevyo yale tunayoyaandika yasichukuliwe kuwa ni ukweli bali ni "dhana" zinazotokana na fikra zetu.Tafsiri yako siipingi , bali tunapoandika ukweli hapa jf hatushindani na mtu yeyote