Napinga sifa za kinafiki anazopewa Maalim Seif leo na Watu wale wale waliomdhalilisha

Huo ndiyo ukweli, Baba yake alikuwa TISS, chama anachoongoza kilianzishwa na TISS (Huwezi kuwa Gavana wa BOT bila kuwa TISS), then unategemea hao watu wasimrithishe chama mtu wao? Naye alikuwa BOT na elimu yake ya form 6!! Kuna watu wajinga sana nchi hii!
Historia za chama hicho ni ngumu na ukweli ni kwamba kilianzishwa tokea miaka ya 80 Lakini Nani yupo wa kusema ukweli wake?!!..
 
Umekalia kurudiarudia historia ya kisiasa ya Nchi ya Tanzania . Halafu unauliza Lowassa ni nani?Dk.Slaa ni nani?Are you serious?Unajua waliobadikwa jina la Boys to Men?Unawezaje kuzungumzia siasa za Tanzania bila Lowassa.Mwalimu Nyerere alimtaja wewe unauliza ni nani?
Mada unayoizungumzia najadili hoja na mleta hoja na sidhani umeelewa mada ni nini?Kinachozungumzwa ni nini?
Kwahiyo ukishatajwa na Mwalimu basi wewe unakua kwenye Historia
 
Jamaa yupo huko, and siri zake nyingine ukizitaja hapa mada inafutwa, kuna vitu haviitaji akili kubwa kuvijua, ila endeleeni kumuamini chief, kuna siku atawapa disspointment kuliko ile ya 2015
Rafiki yangu siasa ni biashara lakini unajua hivi?!!!... Unajua chama hicho Mwanzo wake ni uwanaharakati au hili hujui?!!...
 
Historia za chama hicho ni ngumu na ukweli ni kwamba kilianzishwa tokea miaka ya 80 Lakini Nani yupo wa kusema ukweli wake?!!..
Chama alianzisha Mtei kwa msaada wa watu wale, vyama vingi TZ vilianzishwa ili kutafuna hela za mabeberu, kama haya mapambano fake ya Covid, ila siyo mbaya kuendelea kuwaani hao watu
 
Hapo ndio ulipokosea kabisa Rafiki yangu it's a big no!!! thanks
Sawa Mkuu, muhimu tufanye chochote kwa manufaa ya nchi, napenda sana upinzani wa 2005-2015, naamini ipo siku tutarudi huko, Upinzani siyo chuki na kutukanana, kuna mtu kacomment hapo juu Samia atakufa before 2025, very bad! Ila wapinzani nao kama binadamu hawapo kamili 100%
 
Chama alianzisha Mtei kwa msaada wa watu wale, vyama vingi TZ vilianzishwa ili kutafuna hela za mabeberu, kama haya mapambano fake ya Covid, ila siyo mbaya kuendelea kuwaani hao watu
Mwenzako alikua WB na IMF huko baada ya kuona hakuna mwelekeo!!!..Anzia hapo kwenye WB na IMF ndio utapata kujua history vizuri!!..Tuache story za kufikirika!!..WB,IMF na Nchi wa hisani ndio walitaka tuingie kwenye Mfumo wa vyama vingi vya Siasa ili watupe misaada!!!..Huyu Mzee alikua wapi?!!..
 
Maalim seif alizaliwa CCM akaugua akiwa CCM na akafa akiwa CCM

Jambo usilolijua ni Kama usiku wa Giza ndio maana mkipanga njama za ugaidi mnafakwa mapema mnashangaa akina Halima Mdee ohh Covid 19

Mnalo Chama dola kinatawala kote Hadi upinzani
Huna hoja
 
Sawa Mkuu, muhimu tufanye chochote kwa manufaa ya nchi, napenda sana upinzani wa 2005-2015, naamini ipo siku tutarudi huko, Upinzani siyo chuki na kutukanana, kuna mtu kacomment hapo juu Samia atakufa before 2025, very bad! Ila wapinzani nao kama binadamu hawapo kamili 100%
Siasa ni Muungano hakuna ugomvi ukiona mtu ana tukana au kukashfu huyo ana matatizo yake mwenyewe huko!!!
 
Siasa ni Muungano hakuna ugomvi ukiona mtu ana tukana au kukashfu huyo ana matatizo yake mwenyewe huko!!!
Nimekusoma Mkuu, ndiyo maana huwa namkubali sana huyu mleta Mada, sijawahi kuona comment yake yeyote akitukana mtu! Ni wakati sasa wa kukaa chini kuona tunaipeleka vipi nchi yetu, wote tunapigania kitu kimoja, nadhani baada ya hotuba yake ya jana atatimiza ahadi zake, wapinzani wapo tayari kukaa naye chini
 
Shukrani na Tumuombee Mungu Pia
 
Nitasema kweli daima , fitna kwangu mwiko .

Wanaccm wote wa Tanganyika na Zanzibar mara zote wamejiapiza kuhakikisha Maalim Seif Sharrif Hamad hapati uongozi wa Juu wa Zanzibar , iwe kwa halali au kwa haramu , chaguzi zote hilo limeshuhudiwa kwa macho yetu likifanyika ikiwemo kuumiza na kuua wale wote waliomuunga mkono Maalim katika harakati zake , Ushahidi wa wazi uko dhahili

Maalim Seif ndio Mwanasiasa wa Zanzibar aliyetukanwa Matusi yote unayoyafahamu hapa duniani kuliko mwanasiasa yeyote wa Zanzibar , Watukanaji wakubwa wakiwa viongozi wa ccm , leo hawa ndio wanajifanya wako mstari wa mbele kumuenzi Maalim Seif , Huu ni unafiki na haukubaliki duniani na ahera .

Maalim Seif amewahi kuwekwa gerezani na serikali ya ccm kwa kesi ya Uongo ya Uhaini pamoja na Duni Haji na Wengine , kabla ya kumsifia kizandiki mtueleze ni lini ccm ilimuomba radhi Maalim Seif kwa kumsingizia Uhaini wa Uongo ?

View attachment 2000566

Labda kwa kumbukumbu tu ni kwamba , Wakati wabunge wote wa upinzani wakisusia uzinduzi wa bunge baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 , uliopangwa kuhutubiwa na John Magufuli aliyetangazwa mshindi wa Urais wa Tanzania , ili kupinga Maalim Seif kunyang'anywa ushindi kwenye uchaguzi ule wa Zanzibar , MBUNGE PEKEE WA UPINZANI ALIYESALIA NDANI YA BUNGE LILE ALIKUWA MBUNGE WA KIGOMA ZITTO KABWE , Ushahidi wa maandishi na video upo .

Nasisitiza kwamba ni laana kubwa sana kumsifu mtu kinafiki , wale waliompinga kwa uchawi na hata kwa bunduki leo ndio wanajifanya kumsifia , Hii ni ghiliba ya kiwango cha chini sana na haikubaliki .

Wewe hujawahi kuwa mkweli. Ila ni kibaraka mmoja ambaye hapendi watu wapatane. Wakae pamoja. Umeibaka Siasa bila kuelewa hata Nini kimo Ndani ya Siasa. Una dalili ya mtu aliye frustrated moyoni na unapenda wengine waionje.

Maisha Ni process Pia. Watu hukua na kubadilika . Mengine tunameachia Mungu aonaye sirini. Maalimu amekufa akiwa kiongozi. Na ndo tunapoanzia. Siku Zote angalia mbele na nyuma kuwe Ni mahali Pa kujifunzia tu. Mema kuyaendeleza na Mabaya kuyarekebisha. Unaumwa mkuu katibiwe.
 
Sijawahi kuufagilia unafiki , nadhani hicho ndio kinachokutisha , mimi si mtu wa kumung'unya maneno
 
Back
Top Bottom