Napinga madaktari wetu kwenda Liberia

Napinga madaktari wetu kwenda Liberia

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,173
Tanzania kupeleka madaktari liberia ni kujitafutia majanga ambayo Mungu hayapendi.

Cha ajabu hata madaktari wenyewe walionekana kuto jiamini kabisa wakati wanahojiwa . utagundua tu kilichowapeleka kule ni dili la fedha tu hamna kingine .

Kwa jinsi madaktari wetu wasivyo makini , kama mtu anaumwa goti anapasuliwa kichwa naamini kabisa hamna cha maana watakacho jifunza huko zaidi ya kutuletea homa .

Na pengine usishangae tunao humu mitaani ilikuwa zuga tu. Napinga madaktari wetu kupelekwa huko
 
Unajaribu kusema nini? Hozo pumba za kutukana madaktari wetu ukome. Kama hawafai kwako sisi tusiotibiwa malaria India hao ndio hututibu.
 
Cha ajabu nchi inaiga wenzetu Wamarekani wenzetu wamepaleka wanajeshi 3,000 eti na sisi tunapeleka madaktari, wazee wa zamani walisema UKIIGA KUNYA KWA TEMBO UTAPASUKA MSAMBA
 
Unajaribu kusema nini? Hozo pumba za kutukana madaktari wetu ukome. Kama hawafai kwako sisi tusiotibiwa malaria India hao ndio hututibu.

Haya basi nakubaliana na wewe tufanye wameugua hiyo EBOLA na kupunguza idadia ya madaktari ndani ya nchi utatibiwa hiyo malaria na nani? hao wenzaka waliotafita sifa ya kuonyesha nchi imetoa mchango wa madaktari kwenye janga la Ebola wataendelea kutibiwa India.
 
wenzetu wana madaktari wengi . sisi majanga tu
 
Wamejitolea na hawakulazimishwa. Acha wakasaidie watu. Mbona una ubinafsi wewe? Malaria sio sawa na ebola ebo!
 
Ugonjwa wa ebola ni moja ya magonjwa hatari na ni rahisi sana kuenea toka kwa mgonjwa kwenda kwa mtu anayemhudumia. Kwa matintiki hiyo, daktari anayemhudumia mgonjwa wa Ebola anajiweka katika mazingira hatarishi ya yeye mwenyewe kupata maambukizo. Je, serikali imewawekea utaratibu gani wa kipekee (e.g. bima ya maisha?) hawa madaktari waliotumwa kuweka maisha yao rehani katika kuwahudumia wagonjwa wa Ebola huko Afrika magharibi ili ikitokea bahati mbaya wakapata madhara kutokana na kazi wanayokwenda kuifanya basi wao au familia zao waweze kufarijika?

Nchi za wenzetu wanapeleka madakitari wao si tu kwenda kutibu wagonjwa bali pia kujifunza mambo mbali mbali kuhusiana na ugonjwa huo wa Ebola katika mazingira halisi, ikiwemo dalili za wagonjwa, kufanya majaribio ya dawa mbalimbali walizozalisha kukabiliana na ugonjwa huo, namna bora ya kuwahudumia wagonjwa wa ebola etc. Je, madaktari wa Tanzania waliopelekwa huko wamepewa majukumu yapi mengine zaidi ya kwenda kuwahudumia wagonjwa?
 
Wakitaka kurudi huku tanzania wawekwe karantini kwa mdaa wa mwezi kama hawakuonyesha dalili zozote ndio waje tz na wasirudi na kitu chochote maana wasije wakatuletea majanga naijua nchi yetu hatupo vizuri kukabiliana na majanga makubwa kama hayo! Malaria imetushinda.
 
Tanzania kupeleka madaktari liberia ni kujitafutia majanga ambayo Mungu hayapendi.

Cha ajabu hata madaktari wenyewe walionekana kuto jiamini kabisa wakati wanahojiwa . utagundua tu kilichowapeleka kule ni dili la fedha tu hamna kingine .

Kwa jinsi madaktari wetu wasivyo makini , kama mtu anaumwa goti anapasuliwa kichwa naamini kabisa hamna cha maana watakacho jifunza huko zaidi ya kutuletea homa .

Na pengine usishangae tunao humu mitaani ilikuwa zuga tu. Napinga madaktari wetu kupelekwa huko

Wewe hutibiwa nchi gani!? Mi nadhani hili ni jambo la kupigia mfano. Iweje Afrika kila inapotokea janga waafrika wenyewe tunaangalia tu tunasubiri misaada toka nje hata kama msaada wenyewe uko ndani ya uwezo wetu. Nawapongeza hao wataalamu walioamua kujitoa muhanga kwa ajili ya waafrika wenzetu. Mungu awalinde naawatumie huko.
 
ebora haipo ndani ya uwezo wetu. kwa sababu hakuna hata dawa moja toka afrika iliyotangazwa kufanyiwa majaribio zaidi ya dawa za china, us, japani na baadhi ya nchi za ulaya
 
Tanzania kupeleka madaktari liberia ni kujitafutia majanga ambayo Mungu hayapendi.

Cha ajabu hata madaktari wenyewe walionekana kuto jiamini kabisa wakati wanahojiwa . utagundua tu kilichowapeleka kule ni dili la fedha tu hamna kingine .

Kwa jinsi madaktari wetu wasivyo makini , kama mtu anaumwa goti anapasuliwa kichwa naamini kabisa hamna cha maana watakacho jifunza huko zaidi ya kutuletea homa .

Na pengine usishangae tunao humu mitaani ilikuwa zuga tu. Napinga madaktari wetu kupelekwa huko

Msifanye kila jambo liwe siasa, wabongo wengi tumekuja huku West Africa tunapiga mzigo kama kawaida na wala hakuna hatari kubwa kuambukizwa Ebola kama mnavyoaminishwa na vyombo vya habari.
 
Tanzania kupeleka madaktari liberia ni kujitafutia majanga ambayo Mungu hayapendi.

Cha ajabu hata madaktari wenyewe walionekana kuto jiamini kabisa wakati wanahojiwa . utagundua tu kilichowapeleka kule ni dili la fedha tu hamna kingine .

Kwa jinsi madaktari wetu wasivyo makini , kama mtu anaumwa goti anapasuliwa kichwa naamini kabisa hamna cha maana watakacho jifunza huko zaidi ya kutuletea homa .

Na pengine usishangae tunao humu mitaani ilikuwa zuga tu. Napinga madaktari wetu kupelekwa huko

Unafahamu maana ya kazi ya udaktari na viapo vyake?
 
Hivi kuna mtu aliwalipia Ada shule humu?
Wamesomeshwa na wazazi wao kwa faida yao,sasa wakienda kule na kupata fedha ni kwa faida yao.
Mboa wa maisha yetu hawayajadilia,kila mtu na maisha yake na kila mtu alisoma kwa faida yake.

Mbona Madaktari wengi tu Watanzania wapo nje ya nchi wameajiriwa na wanafanyakazi zao kwa maslahi yao na familia zao.
Hayo ni maisha Binafsi,narejea tena,unapinga,wewe ndo uliewalipia ada shule?,wazazi wao wamekubali na wao ndio walijifungui chumbani kuwatafuta,wewe mpiga chabo unaanza kuwapangia maisha.
Waache waende,maana wameenda kwa hiari yao na kwa faida ya familia zao.
Kila sehem ya Maisha inachangamoto zake,kwani we unaebakia hapa ndio haufi?we umeona wapi kifo kinakimbiwa
 
Wakirudi huku kwetu waje kama walivyozaliwa.., tutawapa nguo za kuva na viatu huku huku.., infact wasirudi hata na hizo nywele zao.., wanyolewe vipara kabisa. na hiyo ni baada ya kuwa isolated for 1 month kwenye safe place (Outside west africa) na kutoonyesha dalili zozote.., msilte mchezo kabisa hapa!
 
Mm naona bora wamalizikie ukouko wapate walilokwenda kulitafuta.

Ni sifa tu nchi hii na watu wake wanazozitafu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom