TzPride
JF-Expert Member
- Nov 2, 2006
- 2,616
- 1,171
Kwani walitakiwa wawe wapi kama sio bungeni?! Hawapo, hawezi kufanya shughuli ya bungeni. Period! Mnataka kuchanya na kura za mtaa wa Lumumba?
Nadhani kura ya marehemu aliyefariki jana pia mtaitaka, maana hii sasa upuuzi kwenda mbele.
Nadhani kura ya marehemu aliyefariki jana pia mtaitaka, maana hii sasa upuuzi kwenda mbele.
Mkuu Petro, kutokuwepo utaratibu fulani nchini hakumaanishi kuwa utaratibu kama huo haufai. Ni sisi ndio tunaotunga sheria/kanuni na taratibu zenu na kama hivyo ndivyo tunaweza kurekebisha na kuboresha kukidhi matakwa na mahitaji.
Mwenyekiti 6 yupo sahihi kabisa, hatuwezi kukwamsha zoezi ambalo kimsingi limefikia ukingoni.
Pia, kwa wale waliotoka nje ya bunge kwa kupinga kama ndugu zako Ukawa, kanuni hii mpya haitawalazimisha kupiga kura.
Jamani waacheni wabunge wengi popote pale walipo washiriki katka zoezi hili la kihistoria.
Katiba itapatikana
Vifungu vitapitishwa
Na wananchi watapiga kura ya ndio
Mtake ni hivyo, msitake ni hivyo.