Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Wapiga kura waliopo nje ni vema wakajulikana kabla ya kupiga kura na vibali vyao vya ruhusa viwe wazi kabla ya kupiga kura na wao ndo waanze.Sio wapige kimya kimya mwishoni akidi imegoma waanze kuongezea watu from nowhere.Katiba ilishakosewa hapa tunakamilisha tu ratiba basi.