Nusu nifumaniwe na mume wake

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,697
9,775
Dah! Tuache mazoea na wake za watu!

Kuna bidada hapa jirani yangu, ana huo mtrako sio poa! Rangi yake sasa Hivyo vi macho kama seruji bila kusahau papuchi yake yenye joto la ovena, imekaza kisawasawa kama vile mmewe huwa haitendei kazi! Tatizo ni mke wa mtu! Niliichakata mbususu yake mwezi uliopita, tukaachana kabisa, mazoea yakaisha! Akabaki anahudumia familia yake na mkuyenge wa mumewe, mimi nikafuata njia yangu! Ni mtu wa kurejea nyumbani usiku, ana duka somewhere ambapo huko ndipo wanae hupitia kwa ajili ya mlo wa mchana watokapo shule!

Jana asubuhi wakati natoka zangu kuoga huku nimejifunga kijitaulo changu, nimepishana nae akiwa anaelekea kuoga huku kajifunga kijikhanga chake Dah! Nimemuona mpya kabisa! Nikaamua kugeuka japo kuutazama mzigo mzito unaomwelemea bila huruma, naye nikamkuta ananitizama, kila mtu akamtabasamia mwenzie, kisha kanikonyeza, nikaendelea kupiga hatua mbele!

Mida ya saa tatu usiku, kanitext! Nikaanza kuchat nae, akanambia kuwa kanimiss japo morning dose tu, kuwa kesho (ambayo ndo leo) atakuwepo kwake! Ukiangalia mazingira ya ghetoni kwangu niko na Mdogo wangu wa kike kaja kunitembelea baada ya kuua form six! Nikampanga huyo mwanamke kuhusu mazingira, akasema nitaichakazia kwake! Nikampanga kuhusu Guest H, akasema hafeel comfortable kwenda huko! (kumbuka ilikuwa ni kwa njia ya chatting) Tukakubaliana kwenye saa 2 kamili, niwe nshaanza kumnyonya K, kuna message moja alikuwa kaandika "Hii mbw* inaondoka saa 12 asubuhi, wala usijari!" Wanawake mna roho mbaya kweli!

Basi bhana, nilichelewa kulala, nililala kwenye saa 7 usiku, muda huo nafuatilia kigongo kutoka mitaa ya likoma na Aggrey! Nimekuja kushtuka ni saa 3 nakuta sms kibao kwenye simu huku naskia "fungua mlango", mumewe alikuwa anagonga mlango wake kwa hasira kali huku njemba mbili nene zikiwa nyuma yake, zimejazia vifua, halafu sura kax kichiz

Mlango ulivyofunguliwa tu, mwanababa akabaki nje, njema zikaingia ndani, mume huyo akawa anatoa maelekezo tu "tazama chini ya uvungu wa kitanda" kisha akasema "huyu mshenzi alisema watakuwa wote saa 2 asubuhi"

Njemba zilitoka nje, nikaskia zinamwambia "Kwa hiyo mshiko wetu vipi" Akawajibu "kazi si haijafanyika?" Wakamwambia tupatie hata hiyo 40k ya nauli basi! Akawapatia wakaondoka! Kisha nikawa naskia kipigo kizito ambacho mwanamke huyo alikuwa akitembezewa kikifuatiwa na neno "Mimi ndo wa kuitwa mbwa? Nakulisha... Pu! Nakuvisha... Pa! Nakuhudumia Nkudu!

Majirani wakaamua kuliingilia swala lile kati, na mimi nikajichanganya kati kati yao kuuliza kunani na kutuliza ghasia! Huo ndo uzuri wa kutokuwa na namba za majirani wa kiume mtaani! Kama angelikuwa na contact yangu huyo baba, si kingeumana!!?

Kampiga vibaya sana! Inabidi nimpambe mwanamama aende kuripoti kituo cha polisi!

Ilikuwa hivyo!
 
FB_IMG_16550970196615031.jpg
 
Back
Top Bottom