huku kwetu hakuna habari hizo wanavitu vyao vile mnaita bastola fasta tu unarudisha namba kwa MunguUna nyota mbaya, siku hizi vilainishi vimekatazwa... Kua makini ndugu yangu
hizi nyota mpya za Dijitali enzi za sheilh yahaya hazikuwepo kabisaUnanyota ya UKIMWI
Una nyota ya KIFO mkuu.Habari za asubuhi ndugu zangu
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ni kwamba nimekuwa nikipendwa sana na wake za watu. Sielewi suala hili niliite ni Tatizo au bahati ama Mkosi kwa maana wakati mwengine huwa naogopa hata kuwafahamu wake/madem wa washkaji zangu nikihofia wasije wakafall in love with me. Naombeni mnishauri nifanye nini ili niepukane na janga hili cz limesha sababisha mie na wife kugombama zaidi ya mara 7 akinihisi labda nina mahusiano na wamawake wengine cz 98% of my contacts ni wanawake. Nashindwa la kufanya kwa sababu hata kazi ninayofanya clients wangu wengi ni wanawake so huwa tunapeana contacts. Nahitaji msaada wenu jamani Kuokoa ndoa yangu. Nilimruhusu wife kupokea simu yangu pamoja na kusoma messages bt haikusaidia cz zaidi ya mara 3 alikuta messages za mialiko ya Lunch kutoka kwa wanawake tofauti. Kuna mtu nilimuelezea akaniambia huenda ni pepo/jini anahusika bt kwa kuwa akili yangu haipo katika imani hizo nilimsikiliza nikapotezea.
Bro nchi za watu ukiwa serious sana unafukuza watu cz wanapenda mtu anaeinteract na watu vizuri so ukiwa muongeaji na mcheshi ndio unaingiza pesa sana tofauti na bongo.yaani ukifanya utan na wife naku ra eti unajisifia napenda sana utani fyuuuu mwehu na matokeo ya utani pia yapende sana
Unafany kaz gan hio ambayo inayopelekea ww kuhamian na wanawake au saloon za kike msus
KY zimezuiwa lakini kwa maisha haya sasa una agizia tuuHivi vilainishi hivi ni vipi mkuu. Mimi nilikuwa najua ni KY jelly
kama ni mkristo tafuta habari za DAUDI kwenye nyumba ya potifa alafu angalia kilichokuja kutokea mbele. Kwa kuepuka zinaa kulimsababishia kuwa waziri mkuu na kwako naamini kwakuepuka zinaaa kuna kitu Mungu anakikusudia kwako.Yule jamaa niliemuomba ushauri ndio alikuja na stori za huyo jini