Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,003
- 31,804
Pamoja mkuuNashukuru mkuu kwa ushauri.
Pamoja mkuuNashukuru mkuu kwa ushauri.
Ugumu unatoka wap mkuu?mm jana nmekula papuchi ya aliyekuwa demu wangu ambaye ameolewa kama week mbili zilizopita tu.kuacha papuchi kwangu ni kosa kubwa sana mkuuMkuu ni ngumu kwangu kwasasa
Mimi siwezi mkuu, bado naangalia future yangu. Haya mambo ni hatari Sana.Ugumu unatoka wap mkuu?mm jana nmekula papuchi ya aliyekuwa demu wangu ambaye ameolewa kama week mbili zilizopita tu.kuacha papuchi kwangu ni kosa kubwa sana mkuu
Achana nae mkuu usilazimishe jiulize siku na wewe atakufanyia hvyo hvyo kama alivyo mfanyia huyo jamaa au mkuu ulipeleka ulimi chumvin nin?Habari za Muda Huu WanaJ,
Naandika Hapa Kuomba Ushauri Kwenu kwasababu Najua Jf ni Sehemu Yenye watu Wenye Weledi wa Kutosha na Hekima.
Inakaribia Miezi Sita sasa Nilikutana na Dada Mmoja Katika Kumbi za starehe Hapa Dar. Kama unavyojua mtoto wa kiume nikajiongeza Nikawa nakula Mzigo Kwa yule dada.
Yeye ni Mfanyakazi ,Ameajiriwa Organization Flan office zao ziko posta na Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika chuo flani hapa Dar.
Mwezi uliopita Niliona vitu kwake vikanshtua sana, Kwenye WhatsApp Status yake Alipost picha na videos Akiwa kwao Anavalishwa pete ya uchumba.
Last week Before New Year alikuja hadi maghettoni basi baada ya kula mzigo nikaanza kumuuliza kuhusu zile picha na videos alizopost, hakukataa akaniambia ni kweli amechumbiwa ila yeye ananipenda mimi, nilipomuuliza kuhusu pete akanambia anapokua anakuja kwangu atakua anaivua, kiukweli mimi nliogopa nikamchana ukweli kuwa mimi siko tayari kujiweka hatarini kutembea na mke wa mtu. Nikamueleza unapotoka hapa usirudi ndo mwisho wangu mimi na wewe, akaanza kulia ila nikajikaza kuwa siwezi kuendelea nae, basi akaondoka. Mimi tangia siku hiyo nikawa nmekatisha mawasiliano nae, lakini yeye hachoki kunipigia simu wala kutuma jumbe fupi, Nilikua na-respond hapo mwanzo nikimkataza kuwasiliana na mimi lakini hakutaka kuelewa basi nikawa si-repond kwake.
Leo kama kawaida baada ya vipindi narudi ghetto namkuta yule dada ananisubiri Nje, Akaniambia anahitaji tuongee kama ilivyokawaida nilikataa maongezi hapo Ndipo alipobadilika na kunieleza kuwa nichague kusuka ama kunyoa Yani nichague tuendelee kukutana kama zamani au atamwambia mume wake mtarajiwa kuwa ninamsumbua kwa Muda mrefu.
Amenieleza kuwa kesho atakuja tena kujua kama tunaendelea au Anireport kwa Mumewe Mtarajiwa.
Wakuu Naombeni Ushauri Nifanye Nini kuhusu huyu Dada.
SelfMaking.
Hahahaa
Hapo itakua shida, ila najua Hawezi.Anaweza kukataa ndoa huyu.
Mkuu hilo swala la kuzaa haliwezekani kwani sitafanya nae mapenzi Tena. Pia sitaki kuharibu ndoa yao. Natafuta njia ya kuachana nae.Huyo ashakuzoea.anakuwa na insecurity akiwa mbali na wewe hasa kwa sababu mmekaa kimapenzi kwa mda mrefu.Hata wewe ukiangalia moyo wako utajiona mko connected.Usiivunje bond,mtafune haswa abaki na alama yako(mtoto) huyo mmewe asipotumia akili ya ziada apate adhabu ya kulea bustard.Mwanamke akizaa huhamishia mapenzi kwa mwanae Hivyo atakupunguzia usumbufu.
Ni kweli mkuu , Asante kwa ushauri, ninaachana nae. Kuhusu swala la chumvini hayo ni mambo ya Ndani Mkuu.Achana nae mkuu usilazimishe jiulize siku na wewe atakufanyia hvyo hvyo kama alivyo mfanyia huyo jamaa au mkuu ulipeleka ulimi chumvin nin?
Asante mkuu.Uyo dem kichaaa kweli pole bro
Haaaaaaa haaaaaaa nilikuona katika ile gest ya sinza pale alafu huyo mdada anafanya kaz karibu na sukar House pale mjin kati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli mkuu , Asante kwa ushauri, ninaachana nae. Kuhusu swala la chumvini hayo ni mambo ya Ndani Mkuu.
We ni wawapi mkuu... Mambo yamebadilika sikuizi hadi GIFs tunatupia statusKwenye watsup status au profile mtu anaweza kupost video siku hizi??
Utakuwa umenifananisha mkuu, sijawahi kwenda nae guest house.Haaaaaaa haaaaaaa nilikuona katika ile gest ya sinza pale alafu huyo mdada anafanya kaz karibu na sukar House pale mjin kati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mchukulishe kamkopo tu mzee tukalime morogoro mkuuUtakuwa umenifananisha mkuu, sijawahi kwenda nae guest house.
Dah mkuu, siwezi kujihusisha chochote na huyu dada.Mchukulishe kamkopo tu mzee tukalime morogoro mkuu
Mh mbona Dar joto Kali tu.Danga danga na hili baridi
Kuna mkoa una baridi hatarMh mbona Dar joto Kali tu.