Riko Makenga
Member
- Nov 20, 2017
- 72
- 68
Kuna Mzee wangu alinisisitizia sana duniani hamna haki.Mkuu hilo swala la kuzaa haliwezekani kwani sitafanya nae mapenzi Tena. Pia sitaki kuharibu ndoa yao. Natafuta njia ya kuachana nae.
Kuna Mzee wangu alinisisitizia sana duniani hamna haki.Mkuu hilo swala la kuzaa haliwezekani kwani sitafanya nae mapenzi Tena. Pia sitaki kuharibu ndoa yao. Natafuta njia ya kuachana nae.
Kuna situations mkuu unakuwa na uwezo wa kutoa haki, tatizo huwa linakuja Ni namna gani unaitoa haki hiyo.Kuna Mzee wangu alinisisitizia sana duniani hamna haki.
Ndio, njombe na kilimanjaro nadhani inaongozaKuna mkoa una baridi hatar
DomNdio, njombe na kilimanjaro nadhani inaongoza
Yah huko pia. Ubarid na upepo Kama sikosei
Nashukuru Dada kwa ushauri. Nitafanya hivyo.Huyo kama unasimu inarekodi audio mrekodina mpige picha au kideo.. usimruhusu kuingia ndani kwako tena.. hakikisha flash haipo asijue unampiga picha.
Ila lazima ufanye hivyo.. then jitumie kwa e-mail zikae huko au cloud.. or mtumie mtu unamuamini awe nazo..
Umekutana na kichaaa huyo hasiyejiheshimu.. huyo mchumba wake kapata bomuuuuuu haswa
Acha uoga mkuu we butua ila sio kwake tu aje ghetto au lodge freshMkuu huyu mke wa mtu siwezi endelea nae.
nazani anamaanisha watsup status video unapost tu siku hzKwenye watsup status au profile mtu anaweza kupost video siku hizi??
[emoji23][emoji121]
KATI YENU KUNA ANAYEVUTA BANGI, HASA ZILE ZA MALAWI??
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Acha kushoia ka update watsup yako !!Kwenye watsup status au profile mtu anaweza kupost video siku hizi??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Utakuwa umenifananisha mkuu, sijawahi kwenda nae guest house.
Kuwa makini za mwizi arobaini mkuu...siku ukikamatwa ndio utajua maharage mboga au kibwagizo.Hawezi mwambia anakutisha tu hivi unaanzaje kwa mfano anaitaka ndoa yake au haitaki
I concurKubali kwanza huku mkiwasiliana kwa kuchart ukitengeneza ushahid wa sms inawezekan hata mkiongea we mrekod
Kisha mgeuke mwambie amwambie huyo mumewe Ila hakikisha na ushahid ambao utakufanya ww uonekane huna hatia tena baada ya kujua ni mchumba wa mtu we ulimpotezea ila hataki anakusumbua
Viranga vingine hiv looh hadi inaboa