Napendwa na mke wa mtu mtarajiwa

Napendwa na mke wa mtu mtarajiwa

Em acha kutengeneza mazingira kuwa ni ngumu sana kumpiga chini demu dogo....tumeshapiga chini mademu ving'ang'anizi wa kila aina so acha kujiendekeza amua moja kama unataka kuendelea kula mzigo kula na upige kimya.
 
Habari za Muda Huu WanaJ,

Naandika Hapa Kuomba Ushauri Kwenu kwasababu Najua Jf ni Sehemu Yenye watu Wenye Weledi wa Kutosha na Hekima.

Inakaribia Miezi Sita sasa Nilikutana na Dada Mmoja Katika Kumbi za starehe Hapa Dar. Kama unavyojua mtoto wa kiume nikajiongeza Nikawa nakula Mzigo Kwa yule dada.
Yeye ni Mfanyakazi ,Ameajiriwa Organization Flan office zao ziko posta na Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika chuo flani hapa Dar.
Mwezi uliopita Niliona vitu kwake vikanshtua sana, Kwenye WhatsApp Status yake Alipost picha na videos Akiwa kwao Anavalishwa pete ya uchumba.
Last week Before New Year alikuja hadi maghettoni basi baada ya kula mzigo nikaanza kumuuliza kuhusu zile picha na videos alizopost, hakukataa akaniambia ni kweli amechumbiwa ila yeye ananipenda mimi, nilipomuuliza kuhusu pete akanambia anapokua anakuja kwangu atakua anaivua, kiukweli mimi nliogopa nikamchana ukweli kuwa mimi siko tayari kujiweka hatarini kutembea na mke wa mtu. Nikamueleza unapotoka hapa usirudi ndo mwisho wangu mimi na wewe, akaanza kulia ila nikajikaza kuwa siwezi kuendelea nae, basi akaondoka. Mimi tangia siku hiyo nikawa nmekatisha mawasiliano nae, lakini yeye hachoki kunipigia simu wala kutuma jumbe fupi, Nilikua na-respond hapo mwanzo nikimkataza kuwasiliana na mimi lakini hakutaka kuelewa basi nikawa si-repond kwake.
Leo kama kawaida baada ya vipindi narudi ghetto namkuta yule dada ananisubiri Nje, Akaniambia anahitaji tuongee kama ilivyokawaida nilikataa maongezi hapo Ndipo alipobadilika na kunieleza kuwa nichague kusuka ama kunyoa Yani nichague tuendelee kukutana kama zamani au atamwambia mume wake mtarajiwa kuwa ninamsumbua kwa Muda mrefu.
Amenieleza kuwa kesho atakuja tena kujua kama tunaendelea au Anireport kwa Mumewe Mtarajiwa.

Wakuu Naombeni Ushauri Nifanye Nini kuhusu huyu Dada.

SelfMaking.
Hebu usiniabishe mkuu piga huo mzigo ikibidi nipasie niendeleze somo
 
Ana akili za kijinga kweeli, eti akamwambie mchumba kwamba anasumbuliwa.. Kama mwanamke kweli akaseme amekulwa basi.

Asikusumbue huyo, anakutumia tuu hana lolote, aolewe kwingine apende kwingine?? Asikupotezee muda achana nae!! Hajitambui na hajui anataka nini..
Kweli aisee hana mapenzi huyo anatafuta pa kuponea asipoona wazungu kwa mumewe
 
Kubali kwanza huku mkiwasiliana kwa kuchart ukitengeneza ushahid wa sms inawezekan hata mkiongea we mrekod

Kisha mgeuke mwambie amwambie huyo mumewe Ila hakikisha na ushahid ambao utakufanya ww uonekane huna hatia tena baada ya kujua ni mchumba wa mtu we ulimpotezea ila hataki anakusumbua

Viranga vingine hiv looh hadi inaboa
Asante mkuu kwa ushauri. Nitaufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom