Napendwa na mke wa mtu mtarajiwa

Napendwa na mke wa mtu mtarajiwa

Ana akili za kijinga kweeli, eti akamwambie mchumba kwamba anasumbuliwa.. Kama mwanamke kweli akaseme amekulwa basi.

Asikusumbue huyo, anakutumia tuu hana lolote, aolewe kwingine apende kwingine?? Asikupotezee muda achana nae!! Hajitambui na hajui anataka nini..
Nammi ndo nashangaa hapo.
 
Habari za Muda Huu WanaJ,

Naandika Hapa Kuomba Ushauri Kwenu kwasababu Najua Jf ni Sehemu Yenye watu Wenye Weledi wa Kutosha na Hekima.

Inakaribia Miezi Sita sasa Nilikutana na Dada Mmoja Katika Kumbi za starehe Hapa Dar. Kama unavyojua mtoto wa kiume nikajiongeza Nikawa nakula Mzigo Kwa yule dada.
Yeye ni Mfanyakazi ,Ameajiriwa Organization Flan office zao ziko posta na Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika chuo flani hapa Dar.
Mwezi uliopita Niliona vitu kwake vikanshtua sana, Kwenye WhatsApp Status yake Alipost picha na videos Akiwa kwao Anavalishwa pete ya uchumba.
Last week Before New Year alikuja hadi maghettoni basi baada ya kula mzigo nikaanza kumuuliza kuhusu zile picha na videos alizopost, hakukataa akaniambia ni kweli amechumbiwa ila yeye ananipenda mimi, nilipomuuliza kuhusu pete akanambia anapokua anakuja kwangu atakua anaivua, kiukweli mimi nliogopa nikamchana ukweli kuwa mimi siko tayari kujiweka hatarini kutembea na mke wa mtu. Nikamueleza unapotoka hapa usirudi ndo mwisho wangu mimi na wewe, akaanza kulia ila nikajikaza kuwa siwezi kuendelea nae, basi akaondoka. Mimi tangia siku hiyo nikawa nmekatisha mawasiliano nae, lakini yeye hachoki kunipigia simu wala kutuma jumbe fupi, Nilikua na-respond hapo mwanzo nikimkataza kuwasiliana na mimi lakini hakutaka kuelewa basi nikawa si-repond kwake.
Leo kama kawaida baada ya vipindi narudi ghetto namkuta yule dada ananisubiri Nje, Akaniambia anahitaji tuongee kama ilivyokawaida nilikataa maongezi hapo Ndipo alipobadilika na kunieleza kuwa nichague kusuka ama kunyoa Yani nichague tuendelee kukutana kama zamani au atamwambia mume wake mtarajiwa kuwa ninamsumbua kwa Muda mrefu.
Amenieleza kuwa kesho atakuja tena kujua kama tunaendelea au Anireport kwa Mumewe Mtarajiwa.

Wakuu Naombeni Ushauri Nifanye Nini kuhusu huyu Dada.

SelfMaking.
Penye miti siku zote uwa hakuna wajenzi.piga machine mkuu acha uboya
 
Broo SelfMaking heri ya mwaka mpya kaka. Toka hapo ulipo inaonekana wewe ni mtu wa club tafuta kisu kimoja kikali sana hata kama ni cha kukodi. Siku akikwambia nakuja basi hiko kisu uwe nacho tayari ile anagomga mlango tu akiona totoz zuri zaidi yake hatokuja tena
Nachoogopa Ni kuchongewa kwa mumewe. Hilo ndo linanitatiza mkuu
 
Mapenzi upofu na hafanya wengi tujute kwanini tupo hapa

Haya ni mambo yanayo tokea kwa wanawake kipindi wanalazimisha kuwa na ndoa na huku anae penda awe Mme wake hayuko tayar hapo kwako anapenda Huduma ya penzi kwa kwa jamaa anataka ndoa

Hapo Fanya maamzi magumu ya kuachana nae hawezi kumwambia Mme wake hapo anajaribu kukupima upepo
Nashukuru mkuu kwa ushauri.
 
Kwa elimu ya chuo kikuu ni mbali sana,yaan una akili,weled,utashi wa kitosha.

~Yale unayopenda utendewe ww tangulia kuwatendea wenzako.hakuna chozi sililo lipwa hapa chin ya jua,km sio kwako basi ujue malipo yatakuja kwa watoto wako.

~Halafu anakutishia tuu simamia maamuzi yako.kikubwa ulienda shule hayo mengine ziada.soma shule usiruhusu roho ya dhuluma iwe kwako,
 
Em acha kutengeneza mazingira kuwa ni ngumu sana kumpiga chini demu dogo....tumeshapiga chini mademu ving'ang'anizi wa kila aina so acha kujiendekeza amua moja kama unataka kuendelea kula mzigo kula na upige kimya.
Mkuu sitaki kuendelea, naomba uniambie namna ya kuachana nae, maana anapajua Hadi nnapoishi.
 
Back
Top Bottom