Napendwa na mke wa mtu mtarajiwa

Napendwa na mke wa mtu mtarajiwa

Kwa elimu ya chuo kikuu ni mbali sana,yaan una akili,weled,utashi wa kitosha.

~Yale unayopenda utendewe ww tangulia kuwatendea wenzako.hakuna chozi sililo lipwa hapa chin ya jua,km sio kwako basi ujue malipo yatakuja kwa watoto wako.

~Halafu anakutishia tuu simamia maamuzi yako.kikubwa ulienda shule hayo mengine ziada.soma shule usiruhusu roho ya dhuluma iwe kwako,
Asante mkuu kwa ushauri. Ubarikiwe.
 
Broo SelfMaking heri ya mwaka mpya kaka. Toka hapo ulipo inaonekana wewe ni mtu wa club tafuta kisu kimoja kikali sana hata kama ni cha kukodi. Siku akikwambia nakuja basi hiko kisu uwe nacho tayari ile anagomga mlango tu akiona totoz zuri zaidi yake hatokuja tena
Halafu akitumie hicho kisu kiende kwa mumewe/mchumbaake kuwa amwambie mwanamke wake amuachie man wake
 
mara zote ulitumia ..ndom kweli
maana kifuatacha atakuambia ana mimba yako uchanganyikiwe zaidi
Sio kila mara tulitumia, ila nayye hakutaka kupata mimba. Kwasasa sitaki kufanya nae mapenzi Tena. Na hiyo kesho akija, atanikuta naumwa hoi.
 
Habari za Muda Huu WanaJ,

Naandika Hapa Kuomba Ushauri Kwenu kwasababu Najua Jf ni Sehemu Yenye watu Wenye Weledi wa Kutosha na Hekima.

Inakaribia Miezi Sita sasa Nilikutana na Dada Mmoja Katika Kumbi za starehe Hapa Dar. Kama unavyojua mtoto wa kiume nikajiongeza Nikawa nakula Mzigo Kwa yule dada.
Yeye ni Mfanyakazi ,Ameajiriwa Organization Flan office zao ziko posta na Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika chuo flani hapa Dar.
Mwezi uliopita Niliona vitu kwake vikanshtua sana, Kwenye WhatsApp Status yake Alipost picha na videos Akiwa kwao Anavalishwa pete ya uchumba.
Last week Before New Year alikuja hadi maghettoni basi baada ya kula mzigo nikaanza kumuuliza kuhusu zile picha na videos alizopost, hakukataa akaniambia ni kweli amechumbiwa ila yeye ananipenda mimi, nilipomuuliza kuhusu pete akanambia anapokua anakuja kwangu atakua anaivua, kiukweli mimi nliogopa nikamchana ukweli kuwa mimi siko tayari kujiweka hatarini kutembea na mke wa mtu. Nikamueleza unapotoka hapa usirudi ndo mwisho wangu mimi na wewe, akaanza kulia ila nikajikaza kuwa siwezi kuendelea nae, basi akaondoka. Mimi tangia siku hiyo nikawa nmekatisha mawasiliano nae, lakini yeye hachoki kunipigia simu wala kutuma jumbe fupi, Nilikua na-respond hapo mwanzo nikimkataza kuwasiliana na mimi lakini hakutaka kuelewa basi nikawa si-repond kwake.
Leo kama kawaida baada ya vipindi narudi ghetto namkuta yule dada ananisubiri Nje, Akaniambia anahitaji tuongee kama ilivyokawaida nilikataa maongezi hapo Ndipo alipobadilika na kunieleza kuwa nichague kusuka ama kunyoa Yani nichague tuendelee kukutana kama zamani au atamwambia mume wake mtarajiwa kuwa ninamsumbua kwa Muda mrefu.
Amenieleza kuwa kesho atakuja tena kujua kama tunaendelea au Anireport kwa Mumewe Mtarajiwa.

Wakuu Naombeni Ushauri Nifanye Nini kuhusu huyu Dada.

SelfMaking.
Kazi rahisi sana huyo. We mkubalie upate mgegedo then mtafunie hela najua atakuhonga sana then mpe mimba we sepa. Mjini hapa
 
[emoji121]
KATI YENU KUNA ANAYEVUTA BANGI, HASA ZILE ZA MALAWI??

[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Mkuu tutake radhi nawakilisha Chama Cha Wavuta bangi wa nchini Tanzania, sisi kama wavuta bangi hatuwezi kuanzisha thread yenye pumba kama hii nasisitiza hata tuvute bangi ya Colombia, hatuwezi kushindwa kukabiliana na jambo kama hili.
 
Sio dhambi zote za kukemea,zingine kimbia mkuu.maana hata yosefu alikimbia angejifanya kukemea angelala na mke wa potifa.mkuu kimbia kwa speed yako yote huyo ni simba aungurae anatafuta namna ya kukumeza.
Asante Sana Mkuu kwa Ushauri
 
Back
Top Bottom