Mji mkuu maana yake makao makuu ya serikali.Mji mkuu wa Tanzania ni DAR ES SALAAM
DODOMA ni makao makuu ya chama na serikali, sio mji mkuu
Dah, means dar ndo ulikuwa mji mkuu sasaMji mkuu maana yake makao makuu ya serikali.
Mi nimesoma enzi zile mji mkuu wa tanzania ukiwa ni dodomaMji mkuu wa Tanzania ni DAR ES SALAAM
DODOMA ni makao makuu ya chama na serikali, sio mji mkuu
Nami.kama vile nilisomaga.kitu.cha namna.hiyo kule.msingi miaka.ileeeee.Mji mkuu wa Tanzania ni DAR ES SALAAM
DODOMA ni makao makuu ya chama na serikali, sio mji mkuu