Napendekeza route mpya Mbezi Luis - Bunju

Napendekeza route mpya Mbezi Luis - Bunju

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
5,314
Reaction score
6,896
Wadau natumaini kuwa ni wazima wa afya.

Kituo cha daladala Mbezi-Luis ni katika vituo vikubwa vinavyounganisha maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam.

Cha kushangaza hakuna daladala za moja kwa moja Mbezi Luis-Bunju, hali inayowapa ugumu wakazi wa Kunduchi, Mbezi Beach, Tegeta na Bunju kuwafanya waunganishe magari hivyo nauli kuwa kubwa na usumbufu kuongezeka.

Napendekeza kuanzishwa kwa route hii mpya.
 
Ingawaje mimi sio mkazi wa huko lakini naunga mkono!!

Hivi siku hizi mnatumia route ipi?

Mbezi Luis to Bagamoyo Rd (Mbezi Beach) kupitia Goba, au?!
 
Kweli kabisa, yani mtu umetoka mkoani alafu unafika hapo umechoka unaanza kuunga unga magari.
 
Route ndefu sana iyo sijui unapendekeza nauli iwe bei gan ?
 
Wadau natumaini kuwa ni wazima wa afya.

Kituo cha daladala Mbezi-Luis ni katika vituo vikubwa vinavyounganisha maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam.

Cha kushangaza hakuna daladala za moja kwa moja Mbezi Luis-Bunju, hali inayowapa ugumu wakazi wa Kunduchi, Mbezi Beach, Tegeta na Bunju kuwafanya waunganishe magari hivyo nauli kuwa kubwa na usumbufu kuongezeka.

Napendekeza kuanzishwa kwa route hii mpya.
Hii route ilianza kipindi fulani, ilitangazwa na LATRA, naona kuna changamoto labda ndiyo maana mabasi hayaonekani
 
Back
Top Bottom