Napendekeza Diamond Platnumz ,apewe tuzo ya heshima.

Samahani kwa nitakaowakosea!
Napendekeza Diamond apewe tuzo ya heshima ya kukieneza kiswahili kama sehemu ya utamaduni wetu, pili atambuliwe kama shujaa wa nchi katika kusaidia watu, amejitoa sana mifano ni mingi tu. Mwisho nashauri apewe diplomatic passport na nchi,na ulinzi imara na awe anawapa kozi mbalimbali wale jamaa wa basata, walioshindwa kusaidia sanaa ya nchi hii, ili waboreshe uelewa wao kuhusu namna ya kuifanya sanaa iweze kuzalisha ajira hata kwa wasio wasanii.
Ngoja niendelee kuskiliza huu wimbo wa eneka .
Povu ruksa!
Mnajigongagonga Sana nyie diamond anafanya biashara bhana na kinachomsaidia yupo na management kubwa Sana, Pia ni mtafuta kiki mkubwa na kuroga Sana, kuna interview nilimsikia anasema huwa anapiga simu kigoma kwao kwa washirika kwaajili ya dawa na zindiko Mara nyingi....
 
Atueleze kwanza kwanini familia yake na yeye wanamwachia binri anayedai amebeba mimba yake azidi kujitangaza huku yeye alikana

Je walitenda maana haiwezekanj yule kibinti anapata nguvu za kumchafua kihivyo

Watu wansubiri ukweli ndio atajua kama ana tabia za kiheshima au kujitia aibu kulala ovyo obyo bila kinga na bila kujiheshimu kutulia akajali kazi na famikia na kujijenga.
 
  • Thanks
Reactions: smy

Hilo nalo neno [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ,ila itakuwa yake maana pale kuna mvurugano yule prince nillan Co wake ni wa marehemu, inaweza ikawa kalipiza, Kuna juzi Kati zari alipost kwa swimming pool mond akatema cheche on the spot kuonesha hamuheshimu mkewake na ikaleta gumzo hapa town
So kumtia mimba mobeto anaeshoboka hashindwi
 
Sawa subiri at a kun unlike NGUO NGUO YA SIKUKUU, kwa kumsifia, labda APEWE TUZO YA UFUSKA
 
Mnajigongagonga Sana nyie diamond anafanya biashara bhana na kinachomsaidia yupo na management kubwa Sana, Pia ni mtafuta kiki mkubwa na kuroga Sana, kuna interview nilimsikia anasema huwa anapiga simu kigoma kwao kwa washirika kwaajili ya dawa na zindiko Mara nyingi....
hili sijui linaukwel gani ? Mambo ya kuroga tena
 
Atueleze kwanza kwanini familia yake na yeye wanamwachia binri anayedai amebeba mimba yake azidi kujitangaza huku yeye alikana

Je walitenda maana haiwezekanj yule kibinti anapata nguvu za kumchafua kihivyo

Watu wansubiri ukweli ndio atajua kama ana tabia za kiheshima au kujitia aibu kulala ovyo obyo bila kinga na bila kujiheshimu kutulia akajali kazi na famikia na kujijenga.
kuzaa sjui vinauhusiano gani?
 
Hilo nalo neno [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ,ila itakuwa yake maana pale kuna mvurugano yule prince nillan Co wake ni wa marehemu, inaweza ikawa kalipiza, Kuna juzi Kati zari alipost kwa swimming pool mond akatema cheche on the spot kuonesha hamuheshimu mkewake na ikaleta gumzo hapa town
So kumtia mimba mobeto anaeshoboka hashindwi
hata Mimi ningekuwa mondi ningezaa nae , mtoto mzuri vile wew unaweza kumuacha kajileta mwenyew
 
Back
Top Bottom