Mama hawezi ruhusuIli kuenzi Jitihada za Hayati Magufuli ktk upanuzi wa barabara ya morogoro road kuanzia Kimara mwisho hadi maeneo ya Kibaha njia 8, endapo ujenzi wa barabara hiyo utakamilika napendekeza kwa heshima iitwe Magufuli
Na Nyerere jeMagufuli vitu vyake vinaishi uwezi amini
Hilo ni muhimu hata kiusalama pia ni nzuri.iwekewe taa za barabarani isiachwe gizani
Yaani kuna watu wanapenda sana kuboa watu kama huyu mleta mada.
Mabadiko yatafanyika kwa Morogoro road yote, kwa maana inapo anzia mpaka inapo ishia, hiyo ndio itakuwa Magufuli road.Sasa iitwe hiyo ya njia 8 tu au yote hadi Morogoro?
Ila dah, kubadili jina kongwe kama Morogoro Road sidhani kama ni sawa mkuu. Atafutiwe barabara nyingine mpya iitwe kwa jina lake. Kuna ile moja inaanzia karibu na Kibaha inakuja kutokea pale Vikawe (Baobab sekondari) ni mpya ile mi nashauri apewe ile
Tupo wengi kumbeYaani kuna watu wanapenda sana kuboa watu kama huyu mleta mada.
Kwa nini usifanye magunia republicKwanini Jamhuri ya Tanganyika tusiite Magufulia Republic halafu ukiiunganisha na Zanzibar inakuwa Jamhuri ya Muungano wa Maguzania vipi hapo?
hii njia kuanzia kimara mwisho hadi maeneo ya kibaha ni njia yenye hadhi ya barabara zenye viwango vya miji ya kimataifa.Na hii ya kutoka mwenge hadi morocco ambayo itaifanya dar kama ulaya ipewe jina lake