Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
Leo Majira ya Asubui nimepata wasaa mzuri wa kutembelea Eneo la mbezi Magufuli stand na badae kuanza safari yangu kuelekea Mkoani Morogoro..
Nilichokiona kwa muda Mfupi , Barabara ya Mbezi kwenda Morogoro imezidiwa vya kutosha na foleni za magari
Hapo kama ikitokea "Ajali basi tatizo linakuwa kubwa zaidi
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi itumie Jicho la Tai kiliona hili haraka la sivyo miaka michache ijayo hali itakuwa Mbaya Zaidi kwa wasafiri na wasafirishaji
Pia ni vema Serikali ikaruhusu"Secta Binafsi "kuwekeza Kwenye barabara hii kama Serikali inakuwa haina fedha kwani barabara hii muhimu Kwa Ustawi wa Taifa letu
Rai yangu kwa Serikali ianze mchakato haraka wa kupanua barabara hii ili kuzidi kuharakisha maendeleo na kuleta ufanisi kwa Wananchi na Taifa letu kwa Ujumla
Alex