Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
Promo gani[HASHTAG]#harufuYaPromo[/HASHTAG]
Promo gani[HASHTAG]#harufuYaPromo[/HASHTAG]
Huyu anayekueleza ni KE! Nadhani wewe ni mvulana tuMaumbile yake kiafya yanaathirije mapenzi bedroom kwa mfano? labda wewe utakuwa na matatizo ya nguvu za kiume. Binafsi streches naziona huwa zinanongezea hamu...
Una uhakika gani ni KE hapa JF?Huyu anayekueleza ni KE! Nadhani wewe ni mvulana tu
Hapa nimeelewa sasa,hope watamfwata pmnimesema mm hii nipromo!aisee
Inaonyesha hili ni tangazo la kutaka awapate wajane.Mapenzi raha take u date age mate wako, haya mambo ya kukaa na watu wazima Waikato wewe unawaza mwimbo Moyà wa Diamond meenzako anawaza mirathi ya mume wake
Acha dhihaka. page 4 zote huko nyuma hujasoma, unadandia comment ya mpotoshaji na kujibu!Hapa nimeelewa sasa,hope watamfwata pm
jaman nimejikuta nacheka sana!vip huon kinyaa kuona mastretchmark kwa tumbo?,

Good!sina nafasi nayo!
Mlilie maana hajielewi. Mwambie agoogle kwanza what is strech mark on a woman body...akielewa hataona kinyaa maisha yake yote.
Si mbaya kabisa maana ni chaguo lako na ni sahihi kwako5 yrs na kuendelea...hadi 10 hivi pia sio mbaya.
mimi nawaita wanawake watu wazima na nina waheshimu sana. nawapenda mnooWanaitwa MILF hata mi nawapenda sana
Umesema mabibi kama naniNa mvi za kitumbua unaziangalia au inakuwa ni wakati wa giza tu! Hongera sana ila umarioo una mwisho. Angalia jinsi ambavyo Dai anajaribu kujinasua inavyokuwa karaha. Mwanaume huwa tunachukua dogodogo tu. Una miaka 70 unachukua binti miaka 18. Hapo ndipo unajiona dume hasa si una miaka 18 unachukua mabibi kama Kasie unajina mjanja. Unabemendwa na kuzamishwa chumvini tu

we muache tu atukane watuUmesema mabibi kama nani![]()
![]()
![]()
Sawa Kaka mbitiyaza njoo hapaUna uhakika gani ni KE hapa JF?
Tip: ukitaka kujua hapa JF flani KE au ME, angalia mwandiko na tone yake.
Asee bora niitwe marioo tu BTW CJAWAH' DATE NA MWANAMKE ALIYE FIWA NA MME WAKE O ALIE ACHWA HUWA NAANGALIA AMBAE HAJAOLEWA KABISA N SIJAWAHI KUJUTA. HAWA WANAWAKE HAWANAGA DRAMA; MKIKAA MKAONGEA BOUT' LIFE YAN UNAONA UNAVOTUMIA UBONGO WAKO IPASAVYO KWENYE KUWAZA MAMBO, yaani mwanamke hajanipita miaka kwanzia MITANO huwa sinaga feelings nae kabisa.Watu hawajui tu. Tatizo hakuna aliyewahi kusema na ukisema unaitwa marioo etc, so inabidi kuwa siri kati ya wanawake hao na wanaume wao wa umri mdogo. kimya kimya
Unamuogopa? Sisi wenzako huwa hatuogopi ntuUmesema mabibi kama nani![]()
![]()
![]()
Aaah bwana wee mapenzi ya kuvuana pichu tu,!kila mkikutana hapana. Angalau mpange vitu vya maana,muoneshane fursa,mchangiane mawazo,mtest hypothesis totauti tofauti,mchalenjiane katika kujiboresha kiuchumi,kijamii,mpaka mkichoka mgegedane mkijua kila mtu anajukumu la kumuinua mwenzake.Sentensi yako ya mwisho imenifurahisha.
Daah Sky hapo 'anawaza kwenye mirathi' mbona umeenda mbali sana.Ina maana huyo partner atakuwa ni Shikamoo jazz?!!Mapenzi raha take u date age mate wako, haya mambo ya kukaa na watu wazima Waikato wewe unawaza mwimbo Moyà wa Diamond meenzako anawaza mirathi ya mume wake