msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Binafsi, huwa napenda sana kudate mwanamke mtu mzima. Nadhani ni kwasababau girlfriend wangu wa kwanza alikuwa mtu mzima, yaani alinizidi umri. They have this kind of taste to me, yaani sijui hata niielezeeje.
Huwa napenda vile ninavyoongea nae, ile feeling kwamba I'm reasoning with a matured person, ile heshima anayonipa ya kusikiliza mawazo yangu, na hata ule ushirikiano wa hapa na pale at the end of the day; kuna kuwa hakuna tofauti ya yeye kunizidi umri. I mean by numbers ni kweli anaweza kuwa over 5 or 6 etc, but between us, hakuna ile sense tena au ule mgawanyo kwamba flani ni mkubwa, bwana wangu ni mdogo, etc.
Na huwa tuna blend in vizuri sana. Hata kwenye kuachana, penzi hilo ndo huwa linaniuma zaidi na kubakisha memories nyingi kuliko la binti rika langu.
The most good part ya penzi hili; huwa ni yeye kama mtu mzima, wakati wa romance/bedroom, nampa vitu ambavyo ujanani alivimiss because of course mimi ni kijana, hivyo nampa penzi la ujana. Pia mimi kwangu anakuwa unique, kwasababu napata fursa ya kuonja mambo ya kiutu uzima.
I love these matured ladies!
[HASHTAG]#SpeakingMyMind[/HASHTAG]
Nawe subiri kufumuliwa marinda!Binafsi, huwa napenda sana kudate mwanamke mtu mzima. Nadhani ni kwasababau girlfriend wangu wa kwanza alikuwa mtu mzima, yaani alinizidi umri. They have this kind of taste to me, yaani sijui hata niielezeeje.
Huwa napenda vile ninavyoongea nae, ile feeling kwamba I'm reasoning with a matured person, ile heshima anayonipa ya kusikiliza mawazo yangu, na hata ule ushirikiano wa hapa na pale at the end of the day; kuna kuwa hakuna tofauti ya yeye kunizidi umri. I mean by numbers ni kweli anaweza kuwa over 5 or 6 etc, but between us, hakuna ile sense tena au ule mgawanyo kwamba flani ni mkubwa, bwana wangu ni mdogo, etc.
Na huwa tuna blend in vizuri sana. Hata kwenye kuachana, penzi hilo ndo huwa linaniuma zaidi na kubakisha memories nyingi kuliko la binti rika langu.
The most good part ya penzi hili; huwa ni yeye kama mtu mzima, wakati wa romance/bedroom, nampa vitu ambavyo ujanani alivimiss because of course mimi ni kijana, hivyo nampa penzi la ujana. Pia mimi kwangu anakuwa unique, kwasababu napata fursa ya kuonja mambo ya kiutu uzima.
I love these matured ladies!
[HASHTAG]#SpeakingMyMind[/HASHTAG]
He he he
Watoto wa mwisho kuzaliwa(vitinda mimba) mna matatizo sana, full kupenda kubebishwa bebishwa na simple life.
Kwa mwanaume kushiriki zinaa na mtu aliyekuzidi umri ni sawa na kuwa na urafiki na shetani la ziwani wanaliita chunusi.
Yaani unanyonywa damu dogo.
Kwa kweliUmarioo unakusumbua. Utajuaje alivikosa akiwa kijana!!! Acha usifiwe siyo kujisifia
Ila 95% ni umario tu hakuna mapenziWatu hawajui tu. Tatizo hakuna aliyewahi kusema na ukisema unaitwa marioo etc, so inabidi kuwa siri kati ya wanawake hao na wanaume wao wa umri mdogo. kimya kimya
Lakini usiwe na wasiwasi maana waswahili husema ‘mtoto akililia wembe mpe’ Bahati mbaya hawajui kuwa ukila pesa ya mwanamke lazima ikutokee puani! Utakuwa mtumwa wake ila na mwanamke anayechukua kiBen10 analo maana kuchit kwa visichana ambapo kiBen10 kinahonga hela ya jimama itakuwa order of the day . Hayo hata sisi yanatupata wakati tukihonga dogodogo nao hutoa utamu na ngawira tunazowahonga kwa agemateMungu tusaidie kizazi kinaangamia
Kwa kweli
Yaan anaeumia ni kiben10 maana mama kwani hasara iko wapi? Wanasema tumia hela ikuzoee, mm naomba Mungu kizazi chetu kifunguke ohoo God have Mercy on us looooohLakini usiwe na wasiwasi maana waswahili husema ‘mtoto akililia wembe mpe’ Bahati mbaya hawajui kuwa ukila pesa ya mwanamke lazima ikutokee puani! Utakuwa mtumwa wake ila na mwanamke anayechukua kiBen10 analo maana kuchit kwa visichana ambapo kiBen10 kinahonga hela ya jimama itakuwa order of the day . Hayo hata sisi yanatupata wakati tukihonga dogodogo nao hutoa utamu na ngawira tunazowahonga kwa agemate
Upo sahihi! Ila lazima sisi wazazi tuhakikishe tunawalea na kuwafundisha madhara ya kupenda Umarioo. Mfano angalia hii mpaka mwisho na baadaye tuendelee kuchambua:Yaan anaeumia ni kiben10 maana mama kwani hasara iko wapi? Wanasema tumia hela ikuzoee, mm naomba Mungu kizazi chetu kifunguke ohoo God have Mercy on us loooooh
Hawa watu wahawana usumbufu kabisaaa tofaut na vidada vifujaji ambavyo havina ata futureKUMBE TUKO WENGI NLIJUA NI MM MWENYEWE!! wanawake watu wazima RAHA SANA
ExactlyKumbe tupo wengi, Embe changa na embe lililo komaa lipi tamu? Ukipata jibu = ndio sababu yangu kudate na watu wazima
Naombeni udaku na chitchat mfungue uzi wenu...eti wazazi, mnafanya nini JF badala ya kulea watoto wenu sasa?Upo sahihi! Ila lazima sisi wazazi tuhakikishe tunawalea na kuwafundisha madhara ya kupenda Umarioo. Mfano angalia hii mpaka mwisho na baadaye tuendelee kuchambua:
Wazazi tupo humu kuwalea nyie wanetu. Wazazi hawatakiwi kuwa Facebook na Ins hapa JF ni kwa ajili ya watu wazima na si kwa wavulana hasa Mamarioo kama wewe. CC jje'sNaombeni udaku na chitchat mfungue uzi wenu...eti wazazi, mnafanya nini JF badala ya kulea watoto wenu sasa?
wala laza yao amaizing mkuu..hawasumbui kwenye uwanja na wanapenda sana show ndefuHapa nmegundua asilimia kubwa ya wanaume wanapenda wamama watu wazima.
alikuaje mkuuUmenena mkuu,nimemkumbuka mama zainabu wangu
Mapenzi raha take u date age mate wako, haya mambo ya kukaa na watu wazima Wakati wewe unawaza mwimbo wa Diamond mwenzako anawaza mirathi ya mume wake
zile drama za muda wa kazi...nyie full kuchat tu, mara emoji za maua etc, no way. We talk after work, meet for dinner, then go rest....very calm and professional and maturely.