Wadau,
Sijui nina tatizo la kisaikolojia? Hebu nisaidieni maana nimejikuta napenda na kutongoza wanawake ambao wamenizidi umri tena sana kitendo ambacho kinawashangaza pindi niwafuatapo ingawa nafanikiwa. Yaani nimejikuta kila mwanamke ninayekuwa naye basi kanizidi miaka si kati ya 6 au mitano ili hali mimi nina miaka 25.