Napenda wanawake wafupi

Napenda wanawake wafupi

Tofauti kabisa nami, hata kwa bure sichukui mfupi.
Toto awe mrefu, awe mweupe, akiniheshimu tu, atanitawala kama Zimbabwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabishi dizain, ila engine zinakuwaga poa...wengi mzigo ni busta na teriaz
 
Habari za jioni wana JF
Jamani Mimi nampenda mwanamke mfupi kuanzia futi 4.5 ,mpaka 5.5 yaani nikimuona mwanamke mwenye kimo hicho huwa nafrahi saana

Inasemekana wanawake wengi wafupi wana kishuu.....
Na ni watamu sana na wana mbwembwe na machachari sana
 
Back
Top Bottom