Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Maelezo yako tuu yanaonesha hata ww ni mfupi..hongera.
Pole mimi labda tawapenda nikiwa natoka usingiziniHabari za jioni wana JF
Jamani Mimi nampenda mwanamke mfupi kuanzia futi 4.5 ,mpaka 5.5 yaani nikimuona mwanamke mwenye kimo hicho huwa nafrahi saana
Inasemekana wanawake wengi wafupi wana kishuu.....
Inawezekana upo sahihi ila sins uhakikaMaelezo yako tuu yanaonesha hata ww ni mfupi..hongera.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]MAMBO YA VITZ
ITAKUWA NA WEWE MFUPI
[emoji4][emoji4]umeua chiefWater dispenser
Anapenda wa kufanana naeNi mfupi huyu hana lolotee[emoji28] anajifariji tuu hapa.
CajojoMfupi kimo cha boxer
Thubutuu.
Ha ha nakuja
Utamuweza?? Ana bonge la chura ujue.Ha ha nakuja