kabisa kabisa mi binafs nna watoto wa kike tupu na sihitaji mwanaume kabisa akija labda by chance

Sawa mama mkwekabisa kabisa mi binafs nna watoto wa kike tupu na sihitaji mwanaume kabisa akija labda by chance
Mbona unanikata maini.
Nina madume 9
Ukweli napenda sana mke wangu anizalie watoto wa kike wengi tu. Wa kiume hata akipatikana mmoja siyo mbaya. Sababu:- Wanapenda na kujali wazazi wao. Mijanaume inaponda raha mjini wazazi wanalalia ngozi kijijini, akiambiwa wazazi wagonjwa, ataonekana siku ya msiba na VIDEO CAMERA kuonyesha ufahari msibani, Ukitaka kukosana na ladies mpishane kuhusu suala linalohusu mzazi wake anapokuwa na matatizo!! Hongereni wa mama kwa upendo mlionao kwa wazazi wenu ndiyo maana nawapendeni. Mungu awabariki sana muendelee na upendo huohuo.
kabisa kabisa mi binafs nna watoto wa kike tupu na sihitaji mwanaume kabisa akija labda by chance
Ukweli napenda sana mke wangu anizalie watoto wa kike wengi tu. Wa kiume hata akipatikana mmoja siyo mbaya. Sababu:- Wanapenda na kujali wazazi wao. Mijanaume inaponda raha mjini wazazi wanalalia ngozi kijijini, akiambiwa wazazi wagonjwa, ataonekana siku ya msiba na VIDEO CAMERA kuonyesha ufahari msibani, Ukitaka kukosana na ladies mpishane kuhusu suala linalohusu mzazi wake anapokuwa na matatizo!! Hongereni wa mama kwa upendo mlionao kwa wazazi wenu ndiyo maana nawapendeni. Mungu awabariki sana muendelee na upendo huohuo.
Mbona unanikata maini.
Nina madume 9
Thread ya kipumbavu,sasa wewe usiandae maisha yako,eti unasubiri kutunzwa,nyie ndo mnakaribisha umasikin kwa watoto wenu.usipopewa hata buku nyie ndo wale mnaanza kulaani,ngoja nije nimuoe mtoto wako nione unasogeza hiyo 0714 uone nachokufanya..
Mbona unanikata maini.
Nina madume 9
uliwaokota au ?
mbona sisi tumemjengea mama yetu nyumba au sisi ni matahira au?acha zako wewe kuwa na adabu.Nani amekwambia nasubiri kutunzwa?? Hivi ukiwa na watoto ambao hawana hata upendo kwako unategemea nini?? Naongelea upendo siyo mengine unayoyasema