Napenda sana wanawake wasio rika langu

Napenda sana wanawake wasio rika langu

Duh!!!,haya bhana!,kumbe wako wemgi wenye tabia hiyo.
Issue ni wanajua liwaza sanaa....yan kuna namna wana treat mwanamme we mwenyewe unafurahi unatamani hata ur main chick angekua hvyo....

Wanawake wadogo ki ukweli anaweza asiwe msumbufu ndio ila customer care and hospitality (private treatment) inakua very weak....sasa ukiwa mzigoni huku labda niseme unakutana na wadada watu wazima akili zimetulia alaf unakuta ni mrembo sasa.

Daah sasa ukija fanikiwa mvua chu.pi ki ukweli uta enjoy sanaa....sema ndio vile u just can't wife her.

Wanaume wa shoka tunaojitambua tunatumia nguvu na akili nyingi sanaa kutafuta hela sasa mwanamke wako akiwa ana kuzingua tena haku treat fresh....ndio vile watu unachoka mapema au vifo vya ghafla (stress).
 
Kwa hiyo unatushaurije wanaume wenzako??.
 
Habari za saa hizi JF,

Mimi ni kijana wa miaka 23, katika maisha yangu huwa navutiwa sana na wadada wakubwa walionizid umri sana.

Kitendo hichi kimenifanya niwe na mtoto wa miezi minne na binti ambaye kamzidi hadi dada yangu wa kwanza umri, hata nyumban napata wasiwasi wa kumpeleka.

Naombeni mawazo yenu juu ya hili.

Unalaana dogo!
 
tupo wengi mkuu sio wewe peke yako hata mimi napenda wanawake wakubwa, unamkuta kavaa kanga yake kajaa haswa akitingisha sasa hapo weee nakwambie hata kama wazungu walikua america ya kusini watatua dsm ndani ya sekunde moja. halaf napenda bantu black figaz
 
Kwa hiyo unatushaurije wanaume wenzako??.
Ukipata chance we Bwenga tu sema usimfanye akawa ur main woman na hakikisha si mke wa mtu (Mjini Hapa).

Otherwise kama mke/dem wako anaku hudumia vizuri basi tulia hapo.
 
Kumbe Tupo wengi tunaopenda oversize mie niliyenae kanizidi miaka 8 na naenjoy kuwa nae hana mbwembwe za hawa watotot wadogo
 
Wanaume wenzako wote huwa tunavutiwa na mabinti wadogo kwa kufuata ile kanuni inayotawala kila kichwa cha mwanaume ISEMAYO Chukua umri wako kisha gawanya kwa mbili, kisha jibu utakalopata jumlisha kwa saba, jibu utakalopata basi mwanamke mwenye umri kama huo lazima uvutiwe nae ( let say umri wako ni 20, ukigawa kwa mbili inakuwa 10, ukijumlisha saba inakuwa 17... Basi huo ndio umri wa wasichana utakaovutiwa nao
duh.... yana ukweli hayo???
 
Back
Top Bottom