Napenda sana wanawake wasio rika langu

Jiunge na Wasafi, utapata majimama ya kila aina unayoipenda mdogo Wangu. Wenzako tunapendelea Serengeti girls.
 
Halafu wewe sio yule wa Moro unaosoma SUA kweli?? Unaniaibisha arifu
 
Wanawake wanaokuzidi umri ki ukweli ni watamu sanaa like aged (28 - 40) it depends wengine not more than 45....... Daaah

Alaf upate somewhat light / fair skinned aliyejaa jaa....Daah wana raha sanaa acheni tu, hawasumbuagi kabsa (ni wewe tu uwe unapiga show ya uhakika, utahudumiwa vizuri utashangaa na roho yako).
 
Yani Mulemule as long as na we unapiga kaz hata kama sio ya mshahara mkubwa kihivooo
 
Wanawake wanaokuzidi umri ki ukweli ni watamu sanaa like aged (28 - 40) it depends wengine not more than 45....... Daaah

Alaf upate somewhat light / fair skinned aliyejaa jaa....Daah wana raha sanaa acheni tu, hawasumbuagi kabsa (ni wewe tu uwe unapiga show ya uhakika, utahudumiwa vizuri utashangaa na roho yako).
Duh!!!,haya bhana!,kumbe wako wemgi wenye tabia hiyo.
 
Una hela/ kazi??? Kama zpo hainaga tabu hapo umri ni namba tu,,,, ila watot watakuita KAKA sijui!!!, na kama huna kazi / hela yaan unalelewa ata mi ngekushangaa na umarioo wako huko kwenu sijui ungetafsiriwaje?
Kwa hiyo wewe kupandwa na mtoto mdogo huoni aibu kisa ana hela???
 
Mi naona majimama si waga hayasumbui ndo maaana,ukizingatia na yenyewe yanapenda wavulana wadogo size yako vilevile,
Nb;ukizoe hayo hutapata mdogo kamwe utaona kama anakisumbua maana umri miaka 18-25 hawaingliki kilahis,mpaka ukute ana mtt kashazaaga
 
Back
Top Bottom