JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 576
- 267
sina ela wala sina kaz mm ni mwanafunziUna hela/ kazi??? Kama zpo hainaga tabu hapo umri ni namba tu,,,, ila watot watakuita KAKA sijui!!!, na kama huna kazi / hela yaan unalelewa ata mi ngekushangaa na umarioo wako huko kwenu sijui ungetafsiriwaje?
Hahahahaha,mapenzi hayana umri kama ni chaguo lako we mpeleke tu,wazazi watakuelewa
Wanaume wenzako wote huwa tunavutiwa na mabinti wadogo kwa kufuata ile kanuni inayotawala kila kichwa cha mwanaume ISEMAYO Chukua umri wako kisha gawanya kwa mbili, kisha jibu utakalopata jumlisha kwa saba, jibu utakalopata basi mwanamke mwenye umri kama huo lazima uvutiwe nae ( let say umri wako ni 20, ukigawa kwa mbili inakuwa 10, ukijumlisha saba inakuwa 17... Basi huo ndio umri wa wasichana utakaovutiwa nao
Mwanachuo au secondary? hao majimama unawapiga sound tu? basi uko vizurisina ela wala sina kaz mm ni mwanafunzi
Mwanachuo au secondary? hao majimama unawapiga sound tu? basi uko vizuri
Dah inataka kufanana na Mimi Sema me wananizidigi mwaka 2,1,3 Wa saiv ananizid 2ni kwamba toka nmeanza kuwa na mausiano na wasichana wote wamenizid si chini ya miaka minne
mmmmhhh!!!,hiyo kanuni si dhani kama inaweza kutumika wakati wote.Kupenda ni Kipenda Roho.Wanaume wenzako wote huwa tunavutiwa na mabinti wadogo kwa kufuata ile kanuni inayotawala kila kichwa cha mwanaume ISEMAYO Chukua umri wako kisha gawanya kwa mbili, kisha jibu utakalopata jumlisha kwa saba, jibu utakalopata basi mwanamke mwenye umri kama huo lazima uvutiwe nae ( let say umri wako ni 20, ukigawa kwa mbili inakuwa 10, ukijumlisha saba inakuwa 17... Basi huo ndio umri wa wasichana utakaovutiwa nao
Kwa hiyo hata mabibi unawabeba??.Habari za saa hizi JF,
Mimi ni kijana wa miaka 23, katika maisha yangu huwa navutiwa sana na wadada wakubwa walionizid umri sana.
Kitendo hichi kimenifanya niwe na mtoto wa miezi minne na binti ambaye kamzidi hadi dada yangu wa kwanza umri, hata nyumban napata wasiwasi wa kumpeleka.
Naombeni mawazo yenu juu ya hili.
Hahahaha, bibi bombaKwa hiyo hata mabibi unawabeba??.
bibi ni bomba??!!! au nimekuelewa vibaya??.Hahahaha, bibi bomba
Hata vibibi anabebabibi ni bomba??!!! au nimekuelewa vibaya??.
Sasa kama ni mwanafunzi kwanini unazaa kizembe zembe?sina ela wala sina kaz mm ni mwanafunzi
kwaio unataka afe bila mtoto azikwe na gunzi kwenye tundu la kalio,we nae haujielewiSasa kama ni mwanafunzi kwanini unazaa kizembe zembe?