Napenda sana Wanavyosalimiana Warundi na Wanyarwanda..

Napenda sana Wanavyosalimiana Warundi na Wanyarwanda..

Awe msafi sasa sio wengine na joto hili la jana kimvua tu watu wanaogopa kuoga maji eti baridi, halafu unataka salamu ya kukumbatiwa [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Huyu wa leo ni msafi.
 
Basi hapo akili yako itawaza kwamba mtoto amekupenda
 
Huo ndio utamaduni wetu kama mtu yupo karibu na munaona kila siku munapeana mikono lkn kama ni wa mbali na kuna siku nyingi hamjaonans mnakumbatiana.
Karibu kwetu Rwanda
 
Mbona hata nyie AlkinaChaula xalamu yenu tamuuu [emoji1547][emoji1547][emoji1547]utasikia ndeti lukolo lwangu
 
Ukweli nimeishi na viumbe hao miaka ya kutosha kwenye meneo yao mwese,mishamo na katumba.
Hawana mapenzi ya umalaya ukilala naye tu kama ni binti hapo jua umeoa sijui kwa leo maana technolojia inafumbua mengi.
 
Ni sahihi, wapo vizuri, na kwenye kuoa hawana Complications kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom