Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,024
unatoa ushauri au unadiscuss jina?
Naona tu discuss kwanza jina lako, ukilielewa hilo vizuri litakufundisha kuacha upupu unaofanya.
unatoa ushauri au unadiscuss jina?
anzisha uzi mpya kuhusu jina...mimi huu uzi nimeanzisha sio kwa ajili ya Jina...!Naona tu discuss kwanza jina lako, ukilielewa hilo vizuri litakufundisha kuacha upupu unaofanya.
kuna jamaa yangu sema umri umempita kidogo naye anatabia kama yako ila yeye anafanya hivyo kwakua hapendi kufanya kazi anapenda kuhongwa na mijimama nadhani itakua na mnafananamiaka 28 mkuu...
Acha mwanangu, ukifumaniwa hamna mbinu ya kukwepa kumegwa hata ukiibana unapakwa mafuta mwanangu. Watakuponza hao shauri ako, na umimegwa mara moja tu lazima umtafute basha wa kukumega kila siku, ndo pale tunaposema kamethali ketu ka uswazi eti mmega humegwa, aaaaah kumbe nimekosea... muosha huoshwasijawahi kuwaza hivyo....maana najua mbinu nyingi sana za kuepuka hayo....hata hivyo nataka niache huu upuuzi.
poa mkuu ....nipo mbioni kuacha...asante kwa ushauriAcha mwanangu, ukifumaniwa hamna mbinu ya kukwepa kumegwa hata ukiibana unapakwa mafuta mwanangu. Watakuponza hao shauri ako, na umimegwa mara moja tu lazima umtafute basha wa kukumega kila siku, ndo pale tunaposema kamethali ketu ka uswazi eti mmega humegwa, aaaaah kumbe nimekosea... muosha huoshwa
anzisha uzi mpya kuhusu jina...mimi huu uzi nimeanzisha sio kwa ajili ya Jina...!
kuna jamaa yangu sema umri umempita kidogo naye anatabia kama yako ila yeye anafanya hivyo kwakua hapendi kufanya kazi anapenda kuhongwa na mijimama nadhani itakua na mnafanana
Na wewe unapenda vijana wadogo ungemfuata tu inbox unatutamanisha wenginekwa hyo hata mm nikisema nina miaka 34 mke wa mtu tayar nishakudhi vigezo vyako?????
Mkuu hilo tatizo kubwa sana nenda ufanyiwe maombi.kiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
[HASHTAG]#teamKY[/HASHTAG] mko vizuriNa wewe unapenda vijana wadogo ungemfuata tu inbox unatutamanisha wengine
ukisha pigwa mtungo usisahau kutuletea mrejeshokiukweli sijui tatizo nini...ila kwa ufupi tu napenda sana wake za watu wenye umri kuanzia miaka 30-45 nawapenda sana....sipendi hawa mabinti wadogo... tena nikisikia huyu ni mke wa mtu ndo nazidi kumpenda..... hawa wasichana wadogo sina hamu nao kabisa!!
hahaaaaaa pop mbili zavuka mtoNa wewe unapenda vijana wadogo ungemfuata tu inbox unatutamanisha wengine
Mkuu ningependa sana hizo sites zingiwepo bongoUngekuwa Kenya kuna sugar mummy Dating sites ungeienjoy au waweze kwenda