Daaah aiseee anyway vipi huyo shemu ni mwingine tena auhi
mimi jamani napenda pesa sana 😢 nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
Okay si ulisema huwezi kumove on wewe??hapana yule yule
Binafsi sipendi pesa mkuuOngeza wigo wa kuitafuta na kuizalisha na nidhamu ya kuitumia.
😂😂😂kwani kuna anayechukia pesa 😂😂😂hi
mimi jamani napenda pesa sana 😢 nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
😂😂😂😂😂itakuwa walikuosha na mmoneymoney ulipokuwa mdgo 😂😂ahaahah mimi nimewazidi
Unakopwa kwa mapenzi yapi??hi
mimi jamani napenda pesa sana 😢 nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
Sasa itakuaje?Maana unapenda pesa hadi ulizokopwa.hi
mimi jamani napenda pesa sana 😢 nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
Mimi sipendi pesa ila sichukii pesa😂😂😂kwani kuna anayechukia pesa 😂😂😂
Sasa wewe tukuweke kundi lipi? 😆😆😆Mimi sipendi pesa ila sichukii pesa
Hata pesa za kuhongwa unazipenda?hi