Unajua ukishajua tatizo ni nusu ya ufumbuzi, endelea kujitambua maana hapo kwangu mim una ugonjwa wa kutojitambuaHabari za Jioni,mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nimeanza mapenz nikiwa darasa la sita,nimeishi na maisha ya kupenda Ngono kwani nimekuwa na wanawake tofauti tofauti,sasa hivi nina miaka 26,na nimeshatembea na zaidi ya wanawake 100+,kwa hii hidadi najiona kama uzinzi wangu umezidi,bado na hata leo tu nimeshazini na mwanamke mwingine tofauti na yule wa Jumapili,Hii hali siipendi na inaniumiza sanaa akili,nimejaribu hata kumwomba mungu kupitia malaika zake waniongoze kwa hili coz muda mwingine nikiwa kanisani nasahau kufwata Ibada na kuwaza ngono tu.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.
Unafata nn sasa kanisani??
Kwa hiyo 'hidadi' shingo yako itakuwa ndefu kama twiga(law of use and misuse)
ngoja ntakuelekeza anapoishi ili uwe unaenda kumpa ushauri nasaha bibie.Unaishi wapi?
Habari za Jioni,mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nimeanza mapenz nikiwa darasa la sita,nimeishi na maisha ya kupenda Ngono kwani nimekuwa na wanawake tofauti tofauti,sasa hivi nina miaka 26,na nimeshatembea na zaidi ya wanawake 100+,kwa hii hidadi najiona kama uzinzi wangu umezidi,bado na hata leo tu nimeshazini na mwanamke mwingine tofauti na yule wa Jumapili,Hii hali siipendi na inaniumiza sanaa akili,nimejaribu hata kumwomba mungu kupitia malaika zake waniongoze kwa hili coz muda mwingine nikiwa kanisani nasahau kufwata Ibada na kuwaza ngono tu.

Mdogo wetu epuka zinaa kwa Nyanja zote, Mwisho wako utakosa ridhaa na kupungukiwa riziki....! Dawa yake ni kunga siku na kula siku, saumu ni njia nzuri kutotamani vishawishi vya "ngonoz"Habari za Jioni,mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nimeanza mapenz nikiwa darasa la sita,nimeishi na maisha ya kupenda Ngono kwani nimekuwa na wanawake tofauti tofauti,sasa hivi nina miaka 26,na nimeshatembea na zaidi ya wanawake 100+,kwa hii hidadi najiona kama uzinzi wangu umezidi,bado na hata leo tu nimeshazini na mwanamke mwingine tofauti na yule wa Jumapili,Hii hali siipendi na inaniumiza sanaa akili,nimejaribu hata kumwomba mungu kupitia malaika zake waniongoze kwa hili coz muda mwingine nikiwa kanisani nasahau kufwata Ibada na kuwaza ngono tu.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.