Napenda mwanaume mwenye gari

Huwa naenda zangu kununua mafuta sheli basi wadada wanafikir nina gari na ukizingatia nina kaufunguo kangu nakazungusha zungusha kwenye shahada kanapiga piga kelele...Ila hawajui tu huo ufunguo ni wa ghetto langu na mafuta yenyewe ni ya generator fulani hivi....Hapa nasubir mmoja ajichanganye nimtembezee moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…