Al Shabab, Bro! Mi mwenyewe 28 yrs, 1st degree, mshahara M na unusu, gari zuri, ila bro naona bado, tupige shule, hiyo mikitu itakuja yenyewe, ths tym nafikiria to get wife.
eti enheee so easy like taking a cup of tea!
Sina hakika uko wapi! Km uko dar jaribu kutembelea kwenye taarabu baba!huko kuna manungayembe! Au magubegube ya kutosha.utachagua mwenye. Dogo lakini degree moja usiite elimu ya kutosha!utabweteka.
MI mwenyewee mselaaaa tu 29,with street degree[ya mtaa]kipato buku 10 au 5 sio habaaa,sinaa motokaaa walaa boda,na wife na manyokaa 3 life is good as long as am happy with my family.
Mkuu mi mwenyewe mgonjwa sana wa hayo majimama.Sijui tutayapataje?
Utafiti unaonyesha vijana wanaojirusha na mijimama, wakija kuoa wa size zao wakipata watoto wanazaliwa wakiwa na meno.
ha ha ha ha
umepinda wewe.
hii thread ni ya april,tupo august,mleta mada tupe taarifa ya mchakato.
Age ain't nothing, just a number. Twanga mwana...