Napenda kuwa Sniper. Wapi naweza pata mafunzo?

Napenda kuwa Sniper. Wapi naweza pata mafunzo?

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,649
Reaction score
5,074
Asalaam wakuu.

Kwa siku kadhaa nimekuwa nikiota nafanya mazoezi ya kijeshi,mara nyingine nipo nawinda porini huku nikiwa ndiyo mdungua wanyama.
Katika harakati za uwindaji tulikutana na nyoka mkubwa ambaye nilifanikiwa kukata kichwa kwa risasi.

Mara kadhaa naota nipo katika ofisi za kijasusi nikishauri ama kutekeleza baadhi ya mipango.

Naomba ushauri wenu,kama inanipasa kwenda sehemu kupata mafunzo hata kama ni private kwa faida yangu ama ya nchi pia.
Wataalam wa nyota na kutafsiri ndoto nawakaribisha pia..

Hii hali imepelekea kutamani kufanya hizo kazi.
 
Kule Barak Obama road kwenye nyumba nyeupe,nenda pale ulizia zombi,mambo yote yatakuwa sawa.
 
Una shangaa?

Kwenye uwindaji wa ndege Kwa kutumia manati kati ya ndege kumi unaowalenga unawapata wote?

Kama jibu ni ndiyo basi nenda JKT kwa kujitolea na uoneshe huo ujuzi wako, moja kwa moja hutaachwa.
 
Back
Top Bottom