Napenda kuwa Polisi

Napenda kuwa Polisi

chrisno

Senior Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
117
Reaction score
16
Ndugu WanaJF,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina elimu ya kidato cha nne. Tangu nizaliwe huwa naifurahia sana kazi ya uaskari polisi. Kama kutakuwa na mtu anayeweza kunisaidia nikaipata hyo nafasi naomba msaada kwake, pia anaweza ku-PM.

Sifa nilizonazo;
- Elimu fom 4 point 29 ya mwaka 2013
- Urefu 172

Nawasilisha kwenu..
 
Mfumo wa sasa wa jeshi la polisi ni kuajiri moja kwa moja kutoka mashuleni na vyuoni! Kama fursa hiyo hukuipata umri unakuruhusu kuendelea na masomo then watakukuta hukohuko
 
Soma gazeti la Habari leo la 10/4/2015 limetangaza hizo nafasi
 
Kazi ya laana hiyo
Nimeshaacha radhi mtoto wangu asije akasomea hiyo kazi
 
tangazo lishatoka kwa non professional lazma uwe na gamba la JKT mwisho ni tarehe 31/6/2015
 
daaah
mkuu naona kabisa unapishana na gar la mshahara, endelea kidato cha sita, utajaza selform.....kiulaini unaingia depo unakua afwande
 
Ingia ktk tovuti yao. Chukua pdf. Ujisomee
 

Attachments

  • 1434033737889.jpg
    1434033737889.jpg
    86.3 KB · Views: 228
hawachukui mtaan this time usitafute hata hilo gazeti..
komaa uende advance af utaapply ukifka six.
police wanachukua flesh from school na form unajaza kabla hujafanya mtihan wa kuhitim.
ukwel mchungu.
 
Back
Top Bottom