Napenda kuwa moderator

Your dream is our nightmare..
 
tuma maombi kwa inviy.

Ila sifa ya mod ni busara, zipo?
 
kwanini unataka kua mod..ili u ban watu, ucheki PM zao au nin?
 
wakikupitisha, naomba kukutawadha! kwa vitabu vya dini zote, lolest!
 
nakuteua kuwa mod wa jukwaa la utambulisho... Kazi hii utaianza mara moja
 
Hivi kazi ya mod ni nini, kupiga ban au?? Btw, natumai na wao wameshauona huu ujumbe ndo maana hata post yako waliihamishia huku!
 
mkuu kuna tangazo jf. moderator0anahitajika. kigezo unatakiwa uwe kenya. au subili Fung asitafu. mia
 
Last edited by a moderator:
penda kuwa moderator, lakini usitamani uwe moderator ili uwaban watu kwa kuwaonea...
 
unataka kupiga ban wapinzani wako.
 
Toa sababu za wewe kupenda hii kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…