Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,025
- 1,711
Habar za kazi wana jf
Nimemaliza form 4 mwaka 2012 ila sikubahatika kuchaguliwa kwenda kidato cha 5 na matokeo yangu nilipa four ya 28.Kiukwel napenda sana masomo ya IT naomben ushair jaman kaka/dada zangu nifanyeje ili niwezekufikia malengo yangu?
Asanten..!!