masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,406
- 19,373
Unaishi maeneo gani? Nafikiri fanya jogging kimbia kwa dk 20 then ukimaliza piga push up au sit ups. Yani siku yako utaianza vizuri sana
Endelea na push ups mkuu....japo nakushauri utafute program ili uifuate.
Nina program moja in 2 months ukiifuata utafanya 150 push ups non stop
Unaruka kamba na hutoi jasho? Una ngozi ya chuma?...fanya hivi..kunywa maji ya uvuguvugu then ruka kamba miruko 100, pumzika sekunde kama 30 halafu ruka tena 100 au 200 then malizia na 200 au 100. Usipotoka jasho basi nenda hospitali ukachunguzwe inawezekana zamani ulikuwa samaki so bado hujawa binadam kamili kama sisi bado upo kwenye evolution.
Ukiruka kamba kisawa sawa lazima utoke jasho, ikiwezekana jaribu kuruka kamba bila ya kuwa tumbo wazi na jitahidi kabla ya mapumziko ya kila raundi uwe umeruka idadi nyingi, lazima utavuja jasho.
Endelea na mazoezi - maumivu kawaida kwa mtu ambae hajawahi fanya mazoezi muda mrefu au kwa yule ambae hajawahi fanya mazoezi kabisa.
Mazoezi ni mengi sana labda nikupe hii moja - tafuta sehemu yenye kilima karibu na eneo unaloishi halafu uwe unapandisha kilima kwa kukimbia na kushuka mdogo mdogo, fanya hivyo kwa raundi kadhaa.
Na ikiwezekana kama unaweza pata au upo eneo la ngazi pandisha kwa kukimbia na kushuka mdogo mdogo kwa raundi kadhaa vile vile.
tafuta chuma chenye uzito wa kg 20 kila upande
naogopa vigimbi sitaki mwili uaribike,hizo za kizungu hawaangalii kama mtu utatoa vigimbi
Ukiruka kamba kisawa sawa lazima utoke jasho, ikiwezekana jaribu kuruka kamba bila ya kuwa tumbo wazi na jitahidi kabla ya mapumziko ya kila raundi uwe umeruka idadi nyingi, lazima utavuja jasho.
Endelea na mazoezi - maumivu kawaida kwa mtu ambae hajawahi fanya mazoezi muda mrefu au kwa yule ambae hajawahi fanya mazoezi kabisa.
Mazoezi ni mengi sana labda nikupe hii moja - tafuta sehemu yenye kilima karibu na eneo unaloishi halafu uwe unapandisha kilima kwa kukimbia na kushuka mdogo mdogo, fanya hivyo kwa raundi kadhaa.
Na ikiwezekana kama unaweza pata au upo eneo la ngazi pandisha kwa kukimbia na kushuka mdogo mdogo kwa raundi kadhaa vile vile.
push up zipo za aina nyingi kidogo ikitegemea na wataka mwili wako uweje
Piga push up maumivu yataisha...