Sidhan kama ntakuwa simtendei haki kama nisipomnyanyasa wala kazaa nje !Kama wewe una uwezo wa kuzaa utakua haumtendei haki. Utakuja tamani mtoto na kuishia kuzaa nje na kumuumiza zaidi.
Kuishi ndoa bila kuzaa mnatakiwa muwe na moyo na umoja wa ajabu! Ndugu, marafiki na majirani watawaandama kila siku.
Hapana hiyo sio sababu kabisa. . . Ni vile natamani tu niishi na mke wa aina hiyoKipindi cha utoto nilikua nawaza nikiwa na mpenzi asiyezaa basi shughuli itakua kila siku bila kuwaza kama kuna mimba itakuja ama la.
Sasa sijui na mwenzangu una mawazo haya haya au una mengine.
Yeah! Kwasababu hivo ndio shahuku yangu nadhan itanibidi nionyeshe heshima kwake na kushikamana nae. Kuhusu jamii inayotuzunguka huwa nafikiria lkn nadhan kwa pamoja tutayashinda tu.Kama wewe una uwezo wa kuzaa utakua haumtendei haki. Utakuja tamani mtoto na kuishia kuzaa nje na kumuumiza zaidi.
Kuishi ndoa bila kuzaa mnatakiwa muwe na moyo na umoja wa ajabu! Ndugu, marafiki na majirani watawaandama kila siku.
Lkn kaka huoni atajisikia vibaya cz we tyr una mtoto/watoto nje,yaani ungekua mfariji kweli kama ucngekua na mtt afu we uwe na uwezo lkn uamue uczae cz unampendaNi kweli ingawa sababu siyo hiyo. . . Ni vile tu natamani niwe mfariji kwa msichana mmoja kati ya wengi wanaonyanyapaliwa kwa kutoweza kuzaa