Jamani naomba majina ya wabunge wa ccm waliokuwa bungeni kipindi hii mikataba ya madini ilipopelekwa bungeni na kupitishwa, kwa anayefahamu baadhi yao watajwe hapa tuwajue.
Huyo anayechonga mdomo kama kuku na kujifanya anamachungu na rasilimali za taifa hata yeye alikwepo kipindi hicho mikataba inapitishwa...huyu mzee ni mnafiki sijawahi ona