Napenda kujua waliokuwa wabunge wa CCM mwaka 1998

lackg

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
641
268
Jamani naomba majina ya wabunge wa ccm waliokuwa bungeni kipindi hii mikataba ya madini ilipopelekwa bungeni na kupitishwa, kwa anayefahamu baadhi yao watajwe hapa tuwajue.
 
Magufuli kaingia bungeni 1995... nnachojua alikua mmoja wapo wakati huo ila sina uhakika kama ilipelekwa bungeni
 
Mimi nawakumbuka, Spika Pius Msekwa, Chrisant Mzindakaya, Lowassa nae alikuwepo, Kikwete, Kapuya, Magufuli, na wengine wengi tu.
 
Huyo anayechonga mdomo kama kuku na kujifanya anamachungu na rasilimali za taifa hata yeye alikwepo kipindi hicho mikataba inapitishwa...huyu mzee ni mnafiki sijawahi ona
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom