RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,948
- 108,658
Ukishazungumzia vinasaba tayari ni sayansi. Sasa mwisho unasema huwezi kuipata kisayansi. Kipi ni kipi sasa?Vinasaba vinaungana in nature na kusababisha watu kufanana.kisayansi huwezi kuipata ila ktk imani na mambo ya rohoni
Nimewaza kwa sauti