Napenda kujua kuhusu hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napenda kujua kuhusu hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr.Mak, Mar 13, 2011.

 1. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Ndugu zangu wa Jf napenda kufundishwa juu ya hili. Nilikuwa nikicheki katika link hii Illuminati Symbols nikaona katika nembo za hawa jamaa wanaojulikana kama freemason(Dini ya shetani) ni namba 666 na imeoneshwa kuwa namba hii ipo kwenye kofia ya Papa. Swali kuna uhusiano gani kati ya papa na hawa jamaa?
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tusubiri wajuzi wa mambo hayo watufafanulie.
   
 3. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Aisee ni kweli kabisa.Chakufanya tafuta kitabu kiitwacho the secret terorist utajua mengi
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Soma ufunuo kwenye biblia yule mnyama ambaye hesabu yake ni 666 ndiye huyo. So hakuna kilichojificha hapo. Hata nyuma ya kiti chake cha enzi kuna inverted cross ambayo ni masonic cross.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kinapatikana wapi hicho kitabu!
   
 6. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  hakika nimeona wakristo niwagumu sana kutoa elimu. Ima wengi hawana uelewa juu ya hilo au wanajua lakini ni pigo kwao. Jamani bado sijaelimika. Nisaidieni katika hili
   
 7. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Duh! Nikweli bwana kabla hatujaanza kutupa misalaba tuelewesheni kofia ya Papa inauhusiano gani na dini ya shetani.
   
 8. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnh...
   
 9. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  jamani naona bado sijapata majibu. inamaana wakristo hasa waRC hawawezi kunielimisha hilo? Au ndo kusema wengi wanafata wasilolijua?
   
 10. g

  geophysics JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwani elimu kama hii itakusaidia nini? Umeelekezwa ukatafute vitabu usome....au nenda kwa mapadre wapo wengi mtaani tu yanini kusumbua wana JF pasipo ulazima kwa kutaka kujua kitu ambacho kwa maelezo na fikra zako haviendi na wengi wanavyodhania?.   
 11. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hapa inaonekana kuna kitu ndo maana hamuwezi kusema. hapa nasoma kuwa uelewa wa waRC katika isue za bible ni mdogo mno, pia hawawezi kujibu hoja.
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwanza mimi siamini kama kwenye kofia ya papa kuna 666. kwanza nipe ushahidi huo(wa picha au video) then tuendelee.
   
 13. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sio 666 tu peke yake hata kofia yenyewe ipo kama mdomo wa Samaki je inamanisha nini ? wakiristo i watu wagumu sana kuelewa lakini tusichoke kuwafahamisha hawa ni jmaa zetu ila ndio wapo chaka maana maneno yapo kwenye vitabu vyao lakini hawazingatii wanaupenda sana ulimwengu
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu ana point hapo juu. Mimi ni Mkatoliki, kwetu misale ndo mpango mzima, afu padre dizaini ndo kila kitu. Waumini ni wavivu kusoma biblia, kutwa kucha kutembea ni mirozari vifuani. Kuna kitu hakiko sawa katika ukatoliki, looks like taasisi ya kidunia zaidi kuliko kiimani.
   
 15. M

  Mswahela Member

  #15
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakuonea huruma sana, siyo kila mtu anapitia hapa JF; nenda Seminari yoyote iliyokaribu nawe wakakueleweshe km Segerea.
   
 16. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kumbe wewe unajua! siuseme sasa mpaka aende seminari kote, mwaga manyanga hapa. sasa naanza kuamini kuwa RC hamuwezi jibu hoja na kuweka wazi imani yenu watu wakaitambua, kwanini inakuwa ya kifichoficho? some thing is wrong over there. Jibuni hoja na msiikwepe

  hebu soma hizi
  "
  "Lucifer is Enthroned"
  [SIZE=+1]Catholic scholar Dr. Malachi Martin, formerly a Jesuit professor at Georgetown University and a confidant of Vatican insiders, flatly declared in a recent New York City interview: "Yes, it's true. Lucifer is enthroned in the Catholic Church."
  Martin was also interviewed by The Fatima Crusader, a well-known Catholic publication. He again repeated his allegations, and expressed his dismay and distress that the Catholic institution of which he is a part has grown so decadent and morally reprobate since the Vatican II conference of the 60s. The contention that there are Satanists in Rome is "completely correct" said Martin, adding:

  • "Anybody who is acquainted with the state of affairs in the Vatican in the last 35 years is well aware that the prince of darkness has and still has his surrogates in the court of St. Peter in Rome."

   "
   Devil Protected by Catholic Authorities
   Archbishop Milingo went on to make an accusation which sent hurricane force shockwaves throughout the Catholic community. According to Milingo, the devil is actually protected by the Catholic Church:
   • The devil in the Catholic Church is so protected now that he is like an animal protected by the government; put on a game preserve that outlaws anyone, especially hunters, from trying to capture or kill it. The devil within the Church today is actually protected by certain Church authorities from the official devil hunter in the Church--the exorcist. So much so that the exorcist today is forbidden to attack the devil. The devil is so protected that the one who is the hunter, the exorcist, is forbidden to do his job.
   In a subsequent interview, the courageous archbishop stated: "Certainly, there are priests and bishops alike who are followers of Satan." When asked whether cardinals or even the Pope himself were guilty of this repulsive heresy, Milingo responded that, because he is an archbishop, he does not feel it is proper for him to name or comment about superior officials. The archbishop's silence, of course, spoke volumes."

   source: The Pope, the Devil, and the Masonic Lodge
  [/SIZE]
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Sijui mimi ndo kichwamaji, au mwenzangu hueleweki. Yani sijaambulia chochote hapo!
   
 18. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  samahani kidogo nilikuwa naomba kueleweshwa kati ya hizi dini mbili RC & Freemason nani kaanza kuzitumia hizi namba/nembo?
   
 19. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Umenena mkuu, ndio maan watu wanashindwa kutowa majibu ya kile walichokiamini. wengi wao wanakokotwa.
   
 20. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2011
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ndugu mbona mnapenda sana udini?? quran ikichambuliwa mnaanza kuua watu na mkuu wenu aliyelianzanisha anakaa kimya kama yuko pamoja nanyi wakati wana malengo mengine kabisa .... halafu inashangaza sana hakuuona udini wakati anasoma seminari .... na cha kushangaza pia mbona RA na EL hawapigi kelele kuhusu udini?? teheteheteeh!! hakuna jambo geni hapa JF ambalo halikuwahi kujadiliwa ... hivyo hiyo sio mada mpya hapa jamvini. nakusaidia kwa kukupa link hapo chini ufuatilie hiyo post na utapata majibu yake huko na uache kuwapotezea watu muda hapa ...!!

  https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/21159-ni-nini-hasa-maana-ya-namba-666-a.html

  nakutakia kila la kheri katika udini wako!!
   
Loading...