Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,307
- 101,019
agosti 13Farid Qubanda birthday
Jnnimezaliwa hiyo siku mda ni saa sita na nusu mchana....neema naziona alhamdulillah
KafanyajeFarid Qubanda birthday
Kwani mkuu?Kwa ujumla tarehe 13 ya mwezi wowote ule sio siku nzuri kwa wenye imani fulani, na hata wakokodisha jengo refu floor ya 13 itaandikwa 14. Pia wanasema siti na 13 kwenye baadhi ya ndege hua haiwekwi(sins uhakika) ila kwenye majengo marefu na uhakika.
Hapana, kesho siyo Friday 13 Oktoba. Kesho ni Friday 13 SeptembaKama kichwa cha HABARI kinavyosema kesho ni Friday October 13, niliwahi kusikia kuhusiana na hii siku wanasema ni siku ya kichawi au ya kimaajabu
sasa basi napenda kujua kuhusiana na hizo habari na hii siku ,wale wajuzi wa mambo karibuni
anko angu Eiyer mshana jr Mkuu wa chuo juvenile davis na wengineo karibuni hapa mtupe kidogo mkijuacho kuhusiana na hii siku ambayo kesho itakua ndio siku ya FRIDAY OCTOBER 13
Angalia Tena uzi huu kwa Mara ya Kwanza (post ya Kwanza/mwanzisha uzi ) alifanya ikiwa ni mwaka 2017 possible kwamba ilikua ni OctoberHapana, kesho siyo Friday 13 Oktoba. Kesho ni Friday 13 Septemba
Angalia Tena uzi huu kwa Mara ya Kwanza (post ya Kwanza/mwanzisha uzi ) alifanya ikiwa ni mwaka 2017 possible kwamba ilikua ni October