Afisa_Nkai
Senior Member
- Jul 5, 2025
- 183
- 273
Tai ndiye ndege pekee anayeishi kwa muda mrefu zaidi (miaka 70), lakini ili Tai afikie miaka hii ni lazima apitie nyakati ngumu na afanye maamuzi magumu.
Hizi ni nyakati ngumu ambazo tai atatakuwa kufanya maamuzi magumu Kama ifuatavyo,
I. Katika miaka 40 ya mwanzo mdomo wake mrefu na mkali utajikunja,
II.Mabawa yake huwa mazito na hushikana na kifua chake,
III. Makucha yake makali hulegea katika kipindi hiki Cha miaka 40 ya mwanzo,
Baada ya tai kupitia hizo nyakati tatu ngumu, tai huyu ana chaguzi mbili tu ambazo ni,
1. Kufa peke yake au,
2. Kupitia mchakato mgumu na mchungu wa siku 150 za mabadiliko.
Utaratibu huu mchungu unamtaka tai kufanya mambo yafuatayo,
I. Kuruka juu na kuupigiza mdomo wake kwenye mwamba ili kuuvunja,
II. Kujing'oa makucha yake,
III. Kujinyonyoa makucha yake, Kisha anayangoja yote yaote upya,
Baada ya miezi mitano (5) kamili, Tai huanza safari yake maarufu ya kuzaliwa upya na kuishi miaka mingine 30.
NINI HEKIMA YAKE,
Nyakati ngumu hazidumu, kwa kila jambo Kuna majira yake na nyakati kwa kila kusudi chini ya mbingu,
# Yajayo yanafurahisha