Napenda kujifunza Kihindi

ivi Kongosho sio mhindi kweli?anaweza kusaidia hapa...
 
****...barabara che?
Sushi kebab kushney??
 
Jamani mie kihindi ckijui so kama utaandika kwa kihindi bac unipe na tafsiri yake
 
manijho subujho....mimi benda ongea swahili na wewe penda jifunza hindi!
 
pyaar ke kum ni he.....?

Mmmh! Preta! Unajua umenikamilishia siku ktk kucheka? Sitegemea kwa muda uliobaki km ntacheka tena!
Yaani hata kama kufungana kamba hapa umetumia ile mikamba ya meli ! Jina la movie ya kidosi ndiyo umelitumia hapa!
 
Mi najua kihindi, naongea kama unavoongea kiswahili.
Kafungue thread jukwaa la lugha nije nikufundishe.
Unataka cha kuongea tu au kusoma na kuandika pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…