Napenda Kufahamu Wana JF

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,006
Reaction score
72,300
Kuna uzi nimeuona wa kuwakumbuka waliofariki mle ndan ya uzi kuna post inasema kua Gogle amefariki pia kuna uzi ulitolewa wa kuhusu kifo chake kua alizikwa kisutu.

Mwenye kujua atuambie maana wengine hatufahamu kama ni kweli inasikitisha sana namuomba utafiti pia na wengine mnaojua
Tutammiss sana Gogle
 
Yeah hata mm nliuona huo uzi aliyeweka alisema ni mjomba wake
 
Duu maskini sijui ni kipi kilimpata pole familia yao kwa kuondokewa na kijana mdogo
 
Siku hizi Mods wanaunganisha sana id zako zote. Huyo jamaa si ndio yule aliekatwa mkono wa sweta juzi kati?
 
ID ya Gogle ilituletea thread humu na mtu alijitambulisha kua yeye sio Gogle tunayemjua ila ni mjomba wake na alituletea taarifa ya msiba wa Gogle. Mimi niliuliza umejuaje password yake? Nikajibiwa ukitumia application ya jf haina haja yakuingiza password kila unapoingia, kitu ambacho ni kweli ata mimi natumia app kwaio mtu akishika simu yngu anaweza kuingia jf kwa ID yngu
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi Mods wanaunganisha sana id zako zote. Huyo jamaa si ndio yule aliekatwa mkono wa sweta juzi kati?

Ndio huyo huyo yaan alikua na vituko nakumbuka alipigwa ban alimpa michambo lemutuz
 
Mkuu hili linawezekana tuu kama Mhusika haku log out.
 
Ni kweliii au ye ndio kajifanya kuandika maana ni mtundu gogle kama ni kwelii tutamiss vituko vyake maana ye kila siku katahiriwa
 
Last edited by a moderator:
Ni kweliii au ye ndio kajifanya kuandika maana ni mtundu gogle kama ni kwelii tutamiss vituko vyake maana ye kila siku katahiriwa

oin Date 26th February 2013 Last Activity 17th May 2014 23:46
 
Ni kweliii au ye ndio kajifanya kuandika maana ni mtundu gogle kama ni kwelii tutamiss vituko vyake maana ye kila siku katahiriwa

Me sijui kama nikweli Dinazarde ila nasema kilichoandikwa na "mjomba wake", kama yuko hai Mungu ampe maisha marefu kama ni kweli amekufa Mungu amlaze mahala pema popeni....
 
Last edited by a moderator:
Me sijui kama nikweli Dinazarde ila nasema kilichoandikwa na "mjomba wake", kama yuko hai Mungu ampe maisha marefu kama ni kweli amekufa Mungu amlaze mahala pema popeni....

Haya utafiti ila itakua kweli tuamini tu
 
Last edited by a moderator:
Me sijui kama nikweli Dinazarde ila nasema kilichoandikwa na "mjomba wake", kama yuko hai Mungu ampe maisha marefu kama ni kweli amekufa Mungu amlaze mahala pema popeni....

Kama ni kweli huyo mjomba wake hayuko sawa kichwani,kuendelea kutumia id ya mtu unaye dai amekufa ni kuleta utata.
Alitakiwa kufungua Id yake na kutoa taarifa si kuendelea kuitumia.
Kwangu mimi bado napata mashaka na hiyo taarifa.
 
Ni kwel gogle angekuwepo angekua ashatoa thread nyingi sana

Ukisoma thread za Gogle utagundua kuwa ni mtu anayependa sana attention..siwezi kushangaa nikisikia alitengeneza ID mpya na akajifanya anatupa habari kama mjombawake..ili aone reaction za watu
 
Kama ni kweli huyo mjomba wake hayuko sawa kichwani,kuendelea kutumia id ya mtu unaye dai amekufa ni kuleta utata.
Alitakiwa kufungua Id yake na kutoa taarifa si kuendelea kuitumia.
Kwangu mimi bado napata mashaka na hiyo taarifa.

Ata mimi nilikua na mashaka kdg na ile taarifa ila ilinibidi nijiaminishe maana alitoa hadi sehemu atayozikwa marehemu na eneo la msiba
 
Ukisoma thread za Gogle utagundua kuwa ni mtu anayependa sana attention..siwezi kushangaa nikisikia alitengeneza ID mpya na akajifanya anatupa habari kama mjombawake..ili aone reaction za watu

Na alishawah kusema ana Id mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…