Napenda kua mmoja Wa Maafisa Usalama.

Napenda kua mmoja Wa Maafisa Usalama.

CLABO

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Wandugu! Mimi ni kijana wa kiume mwenye cheti cha Clearing and forwardng na cheti cha Maabara! Izo fani ninazo, lakin Kaz ambayo nitafanya kwa aman ya Moyo na kuifurahia n kua mmoja wa Afisa usalama, Wahusika hapa nawaomba Mnisaidie kwa hili.
 
Unaweza kupenda kuwa afisa usalama ila ukawa hauna sifa.
 
Wandugu! Mimi ni kijana wa kiume mwenye cheti cha Clearing and forwardng na cheti cha Maabara! Izo fani ninazo, lakin Kaz ambayo nitafanya kwa aman ya Moyo na kuifurahia n kua mmoja wa Afisa usalama, Wahusika hapa nawaomba Mnisaidie kwa hili.
Means unataka kuwa spy sio pamoja na cheti vyeti vyako
 
Km unapenda hyo kaz bas hutopata kwani utajulikana mapema sana kwa kujionesha kwako. Hyo kaz ni siri na yakujitolea sana kwa ajili ya taifa lako
 
Kazi ya afisa usalama ni kazi ngumu sana na ile kazi ni kipaji, yaani mleta mada kuanzisha thread ya kuomba hiyo kazi tayari huna sifa!!

Wale jamaa wanajuana wenyewe kwa wenyewe wanaweza wakamuona mtoto wa darasa la kwanza na wakajua kabisa huyu tayari sifa anazo!
 
hapa bongo watakuwa hawafuati utaratibu huo, mradi tu uweze kuilinda ccm basi
 
Wandugu! Mimi ni kijana wa kiume mwenye cheti cha Clearing and forwardng na cheti cha Maabara! Izo fani ninazo, lakin Kaz ambayo nitafanya kwa aman ya Moyo na kuifurahia n kua mmoja wa Afisa usalama, Wahusika hapa nawaomba Mnisaidie kwa hili.
Jiunge kwa hiari na majeshi hasa JKT. Hupitia huko sometimes kuwafuata wazalendo wa kweli. Vinginevyo nenda ofisini kwao kajitambulishe, wataanza kukutumia mdogo mdogo kabla ya kukuajiri.
 
Nashukuru kwa ushari wenu, Mungu awabariki wa ndugu.
 
Wandugu! Mimi ni kijana wa kiume mwenye cheti cha Clearing and forwardng na cheti cha Maabara! Izo fani ninazo, lakin Kaz ambayo nitafanya kwa aman ya Moyo na kuifurahia n kua mmoja wa Afisa usalama, Wahusika hapa nawaomba Mnisaidie kwa hili.
Kawaida ktk mfumo watu huwa wanaingizwa na sio kujiingiza, ukiona haumo basi huna vigezo vya kuwa ktk kazi hiyo, endelea tu na maisha yako ndugu.
 
Kazi ya afisa usalama ni kazi ngumu sana na ile kazi ni kipaji, yaani mleta mada kuanzisha thread ya kuomba hiyo kazi tayari huna sifa!!

Wale jamaa wanajuana wenyewe kwa wenyewe wanaweza wakamuona mtoto wa darasa la kwanza na wakajua kabisa huyu tayari sifa anazo!
Good good
 
Jiunge kwa hiari na majeshi hasa JKT. Hupitia huko sometimes kuwafuata wazalendo wa kweli. Vinginevyo nenda ofisini kwao kajitambulishe, wataanza kukutumia mdogo mdogo kabla ya kukuajiri.
Nani amekuambia!!hivi wewe kwako inawezekana akaja mtu ambae humjui wala katoka wapi au kazaliwa wapi hapo hapo uanze kuishi nae alafu badae ndo aunze kumlipa??[emoji86] [emoji86]
 
Back
Top Bottom