"....mke wangu wa ndoa anajua sana kupika bro,hilo sipingi hata kidogo ila ajabu nafurahia zaidi msosi wa kwenye misiba,ambao kikawaida hauna kiwango,chukuchuku na huandaliwa katika mazingira sio salama sana hasa misiba ya uswazini kwetu,mara nyingi ni wali/ugali na harage/nyama lakini ndio naupenda balaa,nimejaribu kujikausha kama hili sio tatizo lakini imebidi niseme tu kwani nathani hali hii sio ya kawaida,ukizingatia nina heshima zangu,kazi nzuri na familia yangu iko safii kwani kipato si haba,msiba ukitokea popote nimo na kabla hata ya kufika nawaza msosi wa huko tu....."
Maelezo ya rafiki yangu,Baba Cornel wakati tukipata kinywaji jana usiku,Forodhani.Tanga!Tusaidiane wadau,hili ni tatizo gani?hataki hali hii kabisa
hahahaa,kumbe nawe unashida kama hii?usione sooo,funguka!pamoja sananimecheka kweli, ni ladha ya chakula kilichopikwa kwa kuni, hata mi nilishajiuliza mbona huwa vyakula vya kwenye mikusanyiko huwa vinanivutia hasa vijijini misibani na harusini,sasa yeye huyu hukutana navyo misibani kwani harusini wanapika carterers.siku mojamoja wapikie jiko la mkaa lenye kutoa moshi hapo home.
"....mke wangu wa ndoa anajua sana kupika bro,hilo sipingi hata kidogo ila ajabu nafurahia zaidi msosi wa kwenye misiba,ambao kikawaida hauna kiwango,chukuchuku na huandaliwa katika mazingira sio salama sana hasa misiba ya uswazini kwetu,mara nyingi ni wali/ugali na harage/nyama lakini ndio naupenda balaa,nimejaribu kujikausha kama hili sio tatizo lakini imebidi niseme tu kwani nathani hali hii sio ya kawaida,ukizingatia nina heshima zangu,kazi nzuri na familia yangu iko safii kwani kipato si haba,msiba ukitokea popote nimo na kabla hata ya kufika nawaza msosi wa huko tu....."
Maelezo ya rafiki yangu,Baba Cornel wakati tukipata kinywaji jana usiku,Forodhani.Tanga!Tusaidiane wadau,hili ni tatizo gani?hataki hali hii kabisa
ok ok,never thought of it,yawezekana!thankx
Mmmh...... Ngoja nikacheke kwanza pembeni, nitarudi kwa ushauri
Naturally, chakula kilichopikwa kwa kutumia moto wa asili (kuni) ni kitamu na kina ladha kuzidi kile kilichopikwa kwa kutumia moto wa umeme au gesi, get me?
"....mke wangu wa ndoa
anajua sana kupika bro,hilo sipingi hata kidogo ila ajabu nafurahia
zaidi msosi wa kwenye misiba,ambao kikawaida hauna kiwango,chukuchuku na
huandaliwa katika mazingira sio salama sana hasa misiba ya uswazini
kwetu,mara nyingi ni wali/ugali na harage/nyama lakini ndio naupenda
balaa,nimejaribu kujikausha kama hili sio tatizo lakini imebidi niseme
tu kwani nathani hali hii sio ya kawaida,ukizingatia nina heshima
zangu,kazi nzuri na familia yangu iko safii kwani kipato si haba,msiba
ukitokea popote nimo na kabla hata ya kufika nawaza msosi wa huko
tu....."
Maelezo ya rafiki yangu,Baba Cornel wakati tukipata kinywaji jana
usiku,Forodhani.Tanga!Tusaidiane wadau,hili ni tatizo gani?hataki hali
hii kabisa