Unajua sana kuhusu mapishi wewe eeh?
kweli kabisa,naunga mkono hojaNimekua nikila chakula cha asili, nimezaliwa kijijini, nikakulia kijijini, hivyo najua kwa kiwango cha kutosha kabisa, tofauti ya ladha baina ya chakula cha mjini na cha kijijini. Kijijini mahitaji magumu, lakini chakula chao kitamu!