Iwapo ndio neno lenye maana hapo.Ndoto za Ali Nacha kwenye ubora wake.Vipi iwapo Chama chetu cha Chadema kitashinda uchaguzi wataruhusu au tuseme kukubaliana na nchi wanazozitegemea kuwapa sapoti, yaani Chadema itaruhusu uvutaji wa bangi na mambo mengine. Kila kitu huria mladi usivuke mipaka.
Ikishinda jeshi la polisi wote watahama nchiVipi iwapo Chama chetu cha Chadema kitashinda uchaguzi wataruhusu au tuseme kukubaliana na nchi wanazozitegemea kuwapa sapoti, yaani Chadema itaruhusu uvutaji wa bangi na mambo mengine. Kila kitu huria mladi usivuke mipaka.
CHADEMA HAIWEZI KUSHINDA UCHAGUZI MAANA IMEKATAA KUSHIRIKIVipi iwapo Chama chetu cha Chadema kitashinda uchaguzi wataruhusu au tuseme kukubaliana na nchi wanazozitegemea kuwapa sapoti, yaani Chadema itaruhusu uvutaji wa bangi na mambo mengine. Kila kitu huria mladi usivuke mipaka.